Duration 13:39

PART1KIJANA ANAETEMBEA NA WAKE ZA WATU YAMKUTA MAKUBWA/AKANIROGA UUME UKAWA MREFU KUFIKA MIGUUNI

30 028 watched
0
291
Published 27 May 2020

Category

Show more

Comments - 160
  • @
    @abdulhalimhumud19174 years ago Mr mata nakubali kazi yako hongera mzee. 3
  • @
    @utapatatabusanautanyooka26004 years ago Mtangazaji watufunza vitu vingi kaka huna muda naintaviu zamjin fanyaz twakusapoti kaka. 4
  • @
    @fasanitzfasanitz96314 years ago Leo kavideo kameng' aa yes uwe unapo edit unaongeza na color grading. 6
  • @
    @latifaabdulla14294 years ago Nikiwa oman nakufatilia asante kwa ukumbusho.
  • @
    @babyboss28864 years ago Silent follower nimeamua kurusha comment leo
    kazi nzuri dm.
    3
  • @
    @omarynamara13394 years ago Aisee nimeipenda iyo, eti nimewaaribia starehe yenu my god nahisi dushelele halikusimama tena kwa woga. 2
  • @
    @simongustaphshayo79474 years ago Kwa kweli ukiambiwa mtu ni mke wa mtu achana naye kiroho safi. 1
  • @
    @salmasoso98394 years ago Kama kwako huna wasi ah davistar bhana umenikumbusha ile ukamwagwa, ukaachwa. 4
  • @
    @jacklineakoth10164 years ago Ni comet namba yangu ama niache tu? Sababu mm no wa kwanza leo. 6
  • @
    @Hassanmofty4 years ago Ujajinyea kweli mana kufumaniwaa si mchezoo. 3
  • @
    @shebaminde76564 years ago Jamaniii mmeniwahi tena na leo? Lakin sijachelewa sana mlio niwah kulen like. 14
  • @
    @msaliwapilimsaliwapili2774 years ago Daah uyu jamaa kweli mwamba tena mwamba geu mke wa mpemba tena mganga daah kweli narudia uyu mwamba.
  • @
    @carolinetalam58324 years ago Ama kwa kweli sikio la kufa halisikii dawa +254. 3
  • @
    @nikyhassan78294 years ago Leo nimejifunzakutuletea mikasa hili tupate kuelimika zaidi. 1
  • @
    @zeddybass66724 years ago Vya kuiba vinakuaga vitam. Ila mwisho wa siku uchungu mwingi.
  • @
    @abdulrahmanhassan92544 years ago Dah huyu dogo ana roho ngumu kweli, umeonywa mara 3 isitoshe ni mganga lakini ulikataa kusitisha mahusiano na mkee wake dah. 7
  • @
    @chidiomari.654 years ago Duh uyo dogo ni balaa kuonywa kote huko lakin bado. 1
  • @
    @munnawwary7574 years ago Mackin baba wa wat mtu na haki yake anaomba msamaha kwa kuharb stareh za watu. Pole san hayo ndio madhara ya zinaa turud kwa mung. 2
  • @
    @kiri58073 years ago Huyu alikuwa hataki kujituma akaamua kulelewa na wake za watu.
  • @
    @florachuwa3014 years ago Mwenye mume alikua kweli na busara. Mwema. Ila we mwanakuyataka ulishupaa shingo kwa ujeuri. 1
  • @
    @babarahmababarahma604 years ago Mata utanilipa kiasi gani kwa maana hata mm nina story yangu nataka niiweke mbele ya kioo upige pesa.
  • @
    @aishachambo32934 years ago Wanaume wanaopenda wake za watu mwishi wake lazima wafumuliwe marinda. 1
  • @
    @alifujo41534 years ago Huyu kama ni mm ningemuulia mbali mara zote nakukataza uwachane na mke wangu wanileteausingeifanya hii.
  • @
    @youngyayoo28054 years ago Wewe ni fala sana, sijawai ona mwenzako bro.
  • @
    @ayshamahariq66654 years ago Shkuran sana bro davistar watuelimisha ila huyo jamaa nae aache. 1
  • @
    @salmasoso98394 years ago From oman free wi-fi davistar hii ya leo to much but tunajifunza. 15
  • @
    @hajiabdalla57724 years ago Hao wengine waongo mana huo urefu kumpita punda kawaida ukiwa mzinifu huwa huna haya wala aibu unakuwa kama mnyama kwa lana. Na hao watu wapole na wakimnya na wastaarab bas ni hatar waogope watu hao. 2
  • @
    @ibrahimrukundo30644 years ago Hata namimi sipendi ugonvi naweza pitia hatuwa za maongezi kwanza kama alivyo fanya huyo mpemba. 1
  • @
    @africandarling69254 years ago Eee we du ulikuwa mkaidi wewe kijana duuulikuwa unatari kweli mmh. 2
  • @
    @gharibislam15864 years ago Je ingekuwa ni mamako mtu anatembea nae ungesikia raha? Kama si mke wako ama watoto wako ama mamako iko siku utakuja fanyiwa.
  • @
    @rashidjuma1444 years ago Kijana bora utafune pilipili kuliko mke wa mtu. 1
  • @
    @zingahassan58514 years ago Nice work bro mata. To fellow man let us style up. 1
  • @
    @gosbertmuta54213 years ago Ila davstar una macho mazr sana, yani ulivo hv ungekutana na mm ningekushauri kitu maana unalipa na unafaa kupgia pesa haya macho.
  • @
    @avierastevens51414 years ago Kama kwako unajiachia tu. Mwingine hapomajengo ya hospital. Mmoja kisutu na mwingine mwananyamala mochwari.
  • @
    @ahshbsbx29914 years ago Mbona hii sautii naijua uitwii alli wee ujawahii kuja omanii kwelii mbona kam nakupat broo.
  • @
    @loner_wolf4 years ago Ukisikia mpemba katajwa ujue baadae kunamovie tu.
  • @
    @ayshamahariq66654 years ago Leo nmewa mchana braza davistar nasubr part 2 kwa ham.
  • @
    @demitrahawkins54574 years ago Mara ya kwanza. Ya pili. Ya tatu! You should have known that the danger involved would have been deadly! 9
  • @
    @annajoseph99554 years ago Wanawake sie nao dah umeolewa lakn unachepuka tena unamleta mwanaume kwa kitanda cha mumeo loh uzinzi mwingine sio poa. 10
  • @
    @barbranabakooza95894 years ago Duuh dgo kauzu huyu hhh we unadili na wake za watu tu wakati videmu viko kibao duuh mpaka kwa shekher wa utabibu.
  • @
    @wazirimohammad77874 years ago Staili yako kijana ungetafuta wako wahalali yasingekupata hata sikupi pole nawengine wachukue funzo.
  • @
    @hamidaalhabsi85684 years ago Aa amakweli ulijiamini sana mtihani jamani wanawake mlio olewa kwa nini hamriziki na waume zenu kudanga kunafaida gani.
  • @
    @allykutenga28624 years ago Sasa kimeendelea nn? Coz inaonekana kama kuna ki2 kitaendelea cjui talaka lkn ndo afanye yameisha tu! 2
  • @
    @saeedmugandja41874 years ago Hahaha mtangazaji na wewe noma yani sasa ni mstaafu.
  • @
    @maxjofrey82984 years ago Yani nibora angekuhuwa we mkeanaumanyie yani mi naghalamia alafu mtu ajekilahis tu haisee jela hinanihusu kwakweli.
  • @
    @allycarzola90254 years ago Bro uwe unazipandisha zote kwa pamoja kama vp. 1
  • @
    @saidjuma254 years ago Mademu wote walio ja unajifanya kidume mpaka utembee na wake zawatu.
  • @
    @SamsungA-su2qj4 years ago Endelea kuchezea wapemba uone kitu kitokukuta.
  • @
    @joyanambuya36954 years ago Na ss wanawake tujifunze ushaolewa kwanini utulii na ndoa yako wahitaji kimada tuache jamani haya mambo.