Duration 2:39

WANAFUNZI ZAIDI YA 1500 WAPEWA NASAHA

Published 19 Oct 2019

Ni katika Mkutano mkubwa wa Mapinduzi ya Elimu Visiwani Zanzibar ulioandaliwa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe: RC Ayoub Mohamed Mahmoud uliofanyika 16 Oktoba 2019 katika Ukumbi wa Dr. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar ulioshirkisha wanafunzi zaid ya 1000 wa Skuli zote 32 zenye kidato cha Nne za Mkoa wa Kusini Unguja

Category

Show more

Comments - 0