Duration 18:8

WOMAN EPISODE 5

16 409 watched
0
254
Published 22 Feb 2021

#WOMANSERIES #NyukiTV Ni kweli kuna wakati unaweza jiona mjinga kutokana na makosa au maamuzi yako, kuna wakati pia unajua unachofanya ni makosa lakini unafanya hivyo hivyo lakini matokeo mbeleni yanakuja kukuumiza. Ni wengi leo hii wanataka kufanya maamuzi lakini bado wapo njia panda, yawezekana mpendwa anayezungumziwa hapa ni wewe na unaumiza kichwa kweli kweli bila majibu yoyote. Ndio, ukikosea utayakaribisha maumivu na majuto tele. Fuatilia Series hii ya MAUMIVU itakupa Njia ya Kuikaribisha FURAHA katika MAISHA YAKO. WASILIANA NASI CALL/WhatsAPP +255 768 654 526 E-mail nyukitv@gmail.com Instagram @nyuki_tv Facebook Nyuki TV Twitter @nyuki_tv

Category

Show more

Comments - 34
  • @
    @mabularasshidi84603 years ago Hongera snnami najifunza mungu awabalikia sn msiwe munachelewesha mwendelezo. 3
  • @
    @zulachama10673 years ago Dawise nakukubali kumbe wemkali wa filamu. Ongera sana nisalimiefrom mombasa kenya.
  • @
    @AndreaChiwanga11503 years ago Mnajitahid sana na hongereni kwa kazi nzuri. 1
  • @
    @mwanahalimamwachili96793 years ago Asanteni sana washiriki, bonge la picha tamu, mafunzo mazuri. 1
  • @
    @reginaphilimon7823 years ago Duh unavumilia hyo hayo afu akipata hela hakumbuki mlipo tok wanaume. 1
  • @
    @simonnyemazi52863 years ago Yaani ahsanteni kwa kufundisha ulimwengu, maisha kweli ni fumbo! Lakini yote inaomba kuvumilia, ya dunia yanapita. 2
  • @
    @vumiliakangele25403 years ago Kazi nzur, kanifurahisha tu wa mshikaki.
  • @
    @anitanahimana21153 years ago Nzuri sana ina mafunzo kwa sis wanawake isivamiye mume wamutu eti ana mapenz na wew.
  • @
    @jeannemanirambona2933 years ago Dunia iy naone inaitaji uvumilivu hakuna kingine zaid nikukaza loho. 1
  • @
    @salmaomary803 years ago Nawa fatilia sana yanii musije muka paraza mbele jamani.
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Huko pia hawalaxi damu kumbe mwizi pap choma 001 pia hatulazi damu. 2
  • @
    @vitreenandeth34573 years ago Na sasa si ungemwambia ukweli mtoto wa watu awache kumia aki. 2