Duration 1:6:16

Sheikh MWAIPOPO USO KWA USO NA WAKRISTO/WAJIBIZANA KWA HOJA NZITO - PART 2

10 470 watched
0
72
Published 8 Sep 2021

#SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya YouTube ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo. MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906 ..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Category

Show more

Comments - 118
  • @
    @saidalsalmi93133 years ago Sheikh Mwaipopo nakukubali sana, uko vizuri sana 2
  • @
    @mohamedbakar22673 years ago Haaàa hiindo dibeth. Mmeshindwa. Kutoa aya wakristo 4
  • @
    @innocentndikumana89283 years ago nashukuru allah sana kunijariya ku slim kufata dini ya haki ya wislam 4
  • @
    @hamisijuma33623 years ago mwaipopo ww kamanda kwasababu hulembeshi maneno nakukubali sana 2
  • @
    @nalingarowl70482 years ago Hakuna awezae kufika Kwa Mungu isipokuwa Kwa njia ya Yesu.Yesu alikufa,Yesu alipaa,Yesu atarudi Mara ya pili.Hakuna Nabii atakaerudi Tena.Ila Yesu.Sasa nyinyi mnaupinga Ukristu mnamsubiri nani. Hakuna mtu Mkuu kilimani anaemfikia Yesu walao Kwa robo. Ukristo umeleta elimu,Ukristu umeratibu mengi ya Dunia ...
  • @
    @naufalaljabry8293 years ago Sheikh said allah awape moyo na subra wallahi mimi nashanga na hawa watu wajuwa wanacho kizungumza ama wazungumza tu bas na tena chazaidi kila wakisoma quraan ndio ukweli wataujuwa يقولون ملا يعلمون 1
  • @
    @zainabally13403 years ago Safi ssna mashekhe wangu hao makafiri hawana kitu 2
  • @
    @hamisimuhammad62252 years ago Hakika dini ya haki mbele ya mwezimungu ni uislam
  • @
    @naufalaljabry8293 years ago Pesa fedha mbaya sana hwana hoja ill wafata pesa tu hao يؤثرون الحياة دنيا ولاخرة خير وابقىا
  • @
    @suleimanabdull19583 years ago Quran inasema mkikhitilafiana kwa lolote rudini katika Quran na hadithi sio kwenye Google. 3
  • @
    @charlesjoseph20923 years ago Mjadala safi sana kinachowachanganya waislam nineno Islam
  • @
    @hillaryarande7453 years ago Ukweli ndio huu kabla ya Muhammad alikua na uslamu
  • @
    @aishambega41183 years ago Mtaelewa tu kama mlikadiriwa kuingia uislamu
  • @
    @jumakumala13373 years ago Mnamchukia Mtume Muhammad{ sala na salamu zimfikie yeye} kw sbb alikuwa muarabu lkn angekuwa mzungu kusingekuwa na makafiri km hawa
  • @
    @hillaryarande7453 years ago Quran iko wazi inasema Kuna watu walipewa kitabu kabla yenu, Muhammad Ako wazi,
  • @
    @MishiPapalan2 years ago Wakilisto mimi ninacho washangaa wanamchukia muhamadi na warabu wate kwa huyo mariyamu na mwanawe yesu walikuwa wafrika kwa
  • @
    @omarsakawa20702 years ago Mtume muhammad amepewa dini ya kiislamu, na yeye hakuwahi kuabudu masanamu bali alijitenga akienda kwa jabali hiraa akiabudu kwa njia ya babake ibrahimu. Kwa hio yeye moja kwa moja ni muislamu.
  • @
    @abuialmarjibi9793 years ago Kuwasomesha hawa ni kazi kweli kwa sababu wanaelewa ila wanajifanya hawaelewi
  • @
    @jumakumala13373 years ago Sauti jamani irekebisheni kwenye mitambo yenu
  • @
    @lileoh38933 years ago Waklisto kazi mnayo ubishi mumejaliwa kitabu bilbilia
  • @
    @tamashamagoma29413 years ago We ndacha, unaposema ushahidi wao ni Muhammad tu unataka utoke wapi Kama s si kwa maneno ya Allah?
  • @
    @ramadhanmahongole56633 years ago Naona Muinjilisti Aberi Shilima wamemfanyia Magumashi kumkata maana alikuwa anawachakaza waislam
  • @
    @jumakumala13373 years ago Sauti ya hii debeti ndio inaboo , si mrekebishe sauti jamani
  • @
    @hillaryarande7453 years ago Swali langu bible na Quran gani ilitangula ingine,?bila shaka ni bible ,swali langu nani wanatumia bible?
  • @
    @ramadhanmahongole56633 years ago wakristo wakiongea sauti wanaipunguza waongeapo wanaiongeza
  • @
    @hamishatibu23523 years ago Chaka hamna kitu kabisa kaja kucheza tu
  • @
    @rbagha52802 years ago Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada ...
  • @
    @bukhetesalama80113 years ago We chaka wajielewa lakini mbona huelewi anti kachumbari gani subiri ukatiwe moto kesho
  • @
    @venancemwakibete81493 years ago Chaka uko vizuli wasidie hawa wakombolewe na kifungo cha gereza la uislamu 1
  • @
    @254trends3 years ago Wachungaji hawana lolote bado wajatoa Aya ukristo dini ya manabii
  • @
    @jumakumala13373 years ago Ushaidi ndio huo umetolewa je twamsikiza atasilimu kwl
  • @
    @ramadhanmahongole56633 years ago Mwaipopo uliacha ukiristo kwasababu ya tamaa ya ngono ya kuoa mwanamke wa kiislam akakusilimisha
  • @
    @essaumpuma29813 years ago Jamaniiii qurani 5:5 Allah anasema mmehalalishiwa vyakula vya waliopewa kitabu na vyakula vyenu ni halali kwao,na wanawake miongoni mwawaumini na wanawake miongoni mwa waliopewa kitabu kabla yenu.sasa Kuxema adam ni mwislam qurani inajipinga kwa hiyo sababu qurani inathibitisha uislamu umekuja nyuma.qurani unaposema watu wa kitabuni wayahudi na wakristo ...
  • @
    @suleimanabdull19583 years ago Yaani mm nampongeza ndacha sana kwa kuwa mkweli,Anakubali kuwa manabii woote niwaislam kwa mujibu wa Quran na hadithi lkni vitabu vyengine siwaislam ila hakubali kwa vitabu vyengine ,hahahaha,,,,very funny.
  • @
    @khalfansharji97903 years ago Ndacha aliahidi kenya wakimuonyesha ndani ya bible yesu alipo mwita bikramaria MAMA atasilimu alipoonyeshwa wala hakusilimu mtu wa blabla tu na kiswahili cha viraka.
  • @
    @jumakumala13373 years ago Dakika kumi zote za huyo muinjisti akuna kitu ameongea hakuna la msingi ht moja aliliongea , ht shkee Mbogo ukiimpa haya zote hawezi kusilimu , huyo ni kafiri mkubwa tu
  • @
    @johnissango23573 years ago ukweli ni kwamba quran imeandikwa kutoka biblia.
  • @
    @hajinkulunge8493last year Elewa wewe kafiri mitume wote wapo katika uongofu
  • @
    @marianachriss24443 years ago Mwaipopo maneno mengi mbele giza Rudini kwa YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima 1
  • @
    @johnissango23573 years ago waraka padri na mtume mohamadi walichagua maneno kutoka kwenye biblia wakaandika quran wakadai ni ufunuo. 1
  • @
    @johnissango23573 years ago waislamu mnachekesha kwelimnamwamini mtu aliyetunga kitabu chake akajiita nabii bila kupata ushahidi penginepo.manabii kama hao mbona wako wengi tuu tunawona kila leo,yesu alishatabiri watatokea manabii wa uongo mnakwama wapi? ...
  • @
    @sheesaid25013 years ago Hii mijitu hukosoa tu ila hawatoi ushahidi wa dini ya haki ni gani wamerukia kwa Mtume .siwaeleze ukiristo ni dini watu wamepinda kweli sababu ya njaa tu