Duration 1:17

PAUL MAKONDA: TUTAKAMATA WAZURURAJI WOTE WANAO ZURURA MJINI BILA KAZI YA MAANA

3 535 watched
0
21
Published 5 Apr 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda ametoa tahadhari na kudai kuwa kwa wale wote watakao kutwa wanazurura mjini bila kuwa na kazi ya maana watakamatwa, kwani wao ndo wanao sababisha mikusanyiko hisiyo kuwa na tija.

Category

Show more

Comments - 23
  • @
    @ndarogamba1914 years ago Maisha ya watanzania yote yanafananautamtambuaje kwamba huyu anazurura au hazururi?
    mbona mtakamata wote kisha muwape hela ya kula mn bado unyonge wetu haujaisha tena ndo umezidi na hii corona.
    ...Expand 3
  • @
    @ashaali71544 years ago Hapo unaambiwa uache uvivu usiogope corona utoke ukafanye kazi halafu ukitoka kuhangaika utakamatwa
    sasa mwananchi afanyeje jamani?
    5
  • @
    @saidabdallah49014 years ago Dunia ya leo mambo hayapo hivyo hakuna mtu uliyempa kazi hakaikataa.
  • @
    @dullahamoud60374 years ago Mm nahisi wazururaji hasa wapo kwenye mabaa ' na kumbi za tarehe, makasino, madisko, beti nk.
  • @
    @hasani5654 years ago Huyu nae ukiwakamata alafu ndio nini utawarundika wapi hela.
  • @
    @lilianmngulwi71194 years ago Maisha ya watanzania wengi ni ya mtembea bure si sawa na mkaa bure huenda ukalokota, sasa hapo ni kutafuta vita kati ya mgambo wa jiji na raia.
  • @
    @bonifasbonara93234 years ago Mtuakienda sokoni mzururaji kweli? Yutamjuaje? Wee makonda vipi wewe? 2
  • @
    @dachjunior47664 years ago comments zilizo nyingizaonesha tafsiriya neno mzururajiyawezekana haifahamikikabisa.
  • @
    @CheMatakaofficial4 years ago Tujitaidi kila mtu utimize majibu wake.
  • @
    @simbalion28714 years ago Mh makonda tafadhali maagizo yako yanaleta madhara leo jpl washaanza kukamata watu bila kosa mtu kaka barazani kwake wanamkamata kumtia ndani ya difenda . ...Expand 1
  • @
    @maryamali92294 years ago Mwanzo ulisema ugonjwa huu usikufanye usifanye shughuli zk, ulisema ugonjwa kweli upo lkn wt wapige kazi leo mnakamsta wazururaji, wkt nchi za ulaya zimefunga kila k2 watu wl lock down? Hatujiuzi kweli watanzania.
  • @
    @janethkimaro34104 years ago Muheshimiwa ingekuwa vyema kwa jiji letu la dar es salaam kuwepo na utaratibu mzuri wa kuendesha masoko na sehem zenye msongamano mfano; viongozi wa masoko . ...Expand 1