Duration 19:23

Ruvu Shooting 2-3 Yanga SC | Highlights | VPL

536 193 watched
0
1.5 K
Published 17 Jun 2021

Yanga SC imepata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga wametangulia kwa magoli mawili ya Feisal Salum (Feitoto) kabla ya Saidi Ntibazankiza kufunga la tatu kwa free-kick wakati Ruvu wakipata magoli yao kupitia kwa Emmanuel Martine na david Richard ollomi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 122