Duration 2:41

Haupotezi Muda, Unapoteza Sehemu ya Maisha Yako | A must Watch

135 watched
0
5
Published 14 May 2020

Mwandishi John Mason kwenye kitabu chake cha "An Enemy Called Average" ameeleza kuwa unapofanya jambo la kupoteza muda haupotezi muda ni unapoteza maisha yako. Ukiangalia video hii itabadilisha namna unavyotumia muda wako na namna unavyoupangilia katika shughuli zako za kila siku. Video edited with: Filmmaker Pictures: Canva #komboawakati #mudanimali #inspirefikra #daretodream #changeyourlife #mindset101 #pangiliamudaupangiliemaishayako

Category

Show more

Comments - 8