Duration 7:49

BABA MADENGE KUMCHOMESHA MADENGE KWA MZUNGU - VICHEKESHO

768 667 watched
0
3.3 K
Published 30 Aug 2020

Huu ni mwendelezo wa stori ya Madenge, ambapo katika sehemu iliyopita iliishia ikimwonyesha mlinzi akiwakimbiza Madenge na Dimoso kwa nia ya kuwakamata ili wataje mtoto msichana wa Mzungu alipo. Bonyeza link ya hapa chini ili kuangalia mfululizo wa stori ya Madenge mwanzo hadi sasa ilipofikia:- /playlist/PLKFsGWF6ctbe1nABvr-inXmPURCx-uwf2

Category

Show more

Comments - 246