Duration 2:37

AWESO AENDELEA KUSISITIZA UNAFUU GHARAMA ZA KUUNGANISHIWA MAJI

634 watched
0
1
Published 17 Dec 2021

Please watch: "FAHAMU SABABU ZA KUFELI KWA FIGO" /watch/M_5CZClIlIrIC --~-- AWESO ASISITIZA GHARAMA ZA MAUNGANISHO YA MAJI KUWA NAFUUKWA MWANANCHI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kavuu lililopo Wilayani Mlele Katavi Mhe. Geofrey Pinda watembelea Upanuzi Mradi wa Maji wa kutoka Majimoto kwenda Vijiji vya Ikulwe, Luchimwa na kitongoji cha Kasima Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi. Aidha Aweso amewataka wataalamu wa Maji kuweka gharama nafuu za maunganisho ya Maji kwa wananchi ili kutowakwamisha kupata huduma hii muhimu.

Category

Show more

Comments - 0