Duration 13:13

BBC Africa Eye: Je Vijana wa Mocimboa au magaidi wa Msumbiji ni kina nani

241 674 watched
0
1.3 K
Published 4 Oct 2021

Kutekwa nyara, kukatwa vichwa, na kuchoma nyumba ni matukio ambayo yamehusishwa na kundi lenye usiri na la kinyama zaidi la waasi huko Cabo Delgado, Kaskazini mwa Msumbiji. Tangu 2017, wametekeleza mamia ya mashambulizi na kusababisha idadi isiyojulikana ya vifo . Aidha zaidi ya watu 700,000 wametoroka makwao ilikunusuru maisha yao. Sababu haswa ya uasi huu haujafahamika. Je wanaume hawa ni akina nani na wanataka nini? Kwa kufuatilia harakati za waasi hao mtandaoni, makala haya ya upekuzi wa BBC Africa Eye yanachunguza kwanini Msumbiji imekuwa eneo maarufu zaidi la ugaidi kusini mwa Afrika.. #Msumbiji #BBCAfricaEye #Ugaidi

Category

Show more

Comments - 264