Duration 9:54

Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

78 833 watched
0
368
Published 23 Jun 2020

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zaidi msikilize akizungumza na Dotto Bulendu.

Category

Show more

Comments - 200