Duration 21:54

NIMEZAA NA SHEMEJI YANGU, MUME WANGU NISAMEHE SHETANI ALINIPITIA LEO NASEMA UKWELI ILE SIKU YA

141 447 watched
0
420
Published 25 Jul 2021

NIMEZAA NA SHEMEJI YANGU, MUME WANGU NISAMEHE SHETANI ALINIPITIA LEO NASEMA UKWELI ILE SIKU YA... . . . . . . . . #NimezaanaShemejiYangu #MkewaMtu #TikiTvKiakiliZaidi

Category

Show more

Comments - 542
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Hiyo nitamaaa halafuu unamoyo wachuma hata waadithia huna wasi wasi. MakubwA 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️namtoto wakuibaa huwa anatoka copy 29
  • @
    @nyamizibema60783 years ago Lulu haiji Mara mbili, umeniudhi Sana Mimi na wanawake woooote, 6
  • @
    @jastinesamboto46743 years ago Tuliwaambia kina Makonda hivi viumbe vina Siri Sana huenda hata yeye hakuwa wa baba yake hivyo tusiwasumbue watoto kuwanyima haki zao acha ngano na magugu ikue pamoja. 3
  • @
    @rechoryangaro16023 years ago Nimejikuta nacheka mungu niepushe kwel shetani huyu mbaya ndio maana kanipiti na shemeji 6
  • @
    @sashamakoiso8803 years ago duhhh kumbe dunia hii ndo ilivyo, kweli rafiki yako ndo adui yako 17
  • @
    @festinambona28603 years ago Huna hata hofu pole dada endelea kufanya umalaya wanawake heshimuni ndoa ni agizo la Mungu jaman 5
  • @
    @subirachuta81693 years ago Ila huyo mwanaume naye ni kilaza🙆 unakula unalala unakunya bila ya kujua kinapotoka!!!!!! Na Kama aliachishwa kazi ndo aliona kulala hadi saa nne ukiamka unagonga chai ndo suluisho!!! huo ni ufala wa hali ya juu🙈
    All in all mwanamke mwenzangu umetia aibu🏃🤸🤸
    ...
    4
  • @
    @frankjohn87063 years ago Kumbeee wanawakeee hasa wa pombe jmn pombe sio chai Dada wa kizigua umezingua, Bora niokoke nimkimbilie YESU 2
  • @
    @kamaratsalimsafari88383 years ago Hatariiiii 🤦‍♂️ hizi ni roho ngumu ambazo huezi amini ka mwanamke aeza kufanyia, hii ni zaidi ya kuuwa 5
  • @
    @motocomedy70073 years ago mhh jamna mwanamke mwenzangu una roho ngumu kweli. 19
  • @
    @ismailyusuph7403 years ago Astaghfilullah ‘ hizo Ndio Akili za wanawake ‘ hakujua kama Dhambi aliyokua anaifanya na rafiki wa mumewe Ndio ilikua inawapa dhiki zaidi ‘....mh wanawake hawa’ wanaume wote tutie akilini sana hili neno la ‘DHIKI’ ukitaka kujua tabia ya mkeo ‘ KOSA KAZI’ au mambo yayumbe..!
    Halafu anaongea kama hakijatokea kitu ‘ Yaani burdaaan......mtihani..hawa viumbe Inabidi kuishi nao Kwa AKILI sana....!
    ...
    3
  • @
    @elishakayagwa93713 years ago Huyu dada mnamtukana ila mnakumbuka yule mwanamke kahaba aliyekutana na Yesu akasamehewa?
    Huyu dada kwa kuwa amesema ukweli amesamehewa na Mungu kabisa. Hongera sana dada maana umemshinda shetani ila ninakusihi utulie kwa Mungu asilimia 100% ...
    1
  • @
    @funnycomedyvines14673 years ago Nimejifunza kitu kikubwa sana leo katika interview hii, waliosema usimuani mwanamke hata kama unamtania walipatia sana. 10
  • @
    @lkshmykomar54723 years ago Subuhanalla aibu naona mm hata haya hana mwanamke muogopen Mola wako kunasku utakufa 3
  • @
    @abdulkareemchacha26253 years ago Hakuna mkamilifu....maadamu umeiltambua kosa lako na kujutia.,.jiongeze ubadilike,....uvumilivu katika ndoa ni jambo muhimu sana,rizki anatoa M'Mungu Pekee......tamaa haifai mdg wetu! 1
  • @
    @sakinaabdallah77133 years ago Jamani Watu waliolaaniwa kama hawa musiwe mukituletea kwanza hii ni kama publicity au mafunzo kwa wengine n'a hizi vituko jamani tumechoka 2
  • @
    @focuseric41093 years ago Uyu dada akili zake azipo sawa!!na anaonekana kapinda sana yan aibu ilishapotea siku nyingi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!! 3
  • @
    @bijou50383 years ago Wwe dada hawajuwi unacokiongeya 🙊🙊🙊🙊🙊🙊 2
  • @
    @mahokamkumbukwa64603 years ago Dar shemejii yanguu kabisaa uyuu mama mahadii dar lohoo inaniumaa sanaa 5
  • @
    @fredymbilinyi63233 years ago Mungu anasema tuchukia maovu,tusichekelee maovu☹️ 1
  • @
    @evelynsalila97003 years ago Sema huyo mumeo alikuwa nasifa ya kuitwa mume kwakweli shoga umepoteza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 3
  • @
    @levinamwanakulya93793 years ago Duh Ila wanaume tafuteni shughuli za kufanya 11
  • @
    @fatmakhanii16763 years ago Subhana Allah haya pia unasimulia kwenye media ungekaa nayo moyoni tu ukastiri aibu yako😂😂😂 15
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago MAJUTO NI MJUKUU.WASWAHILI NI SHIDAAAAA 4
  • @
    @mwanakombaabbas933 years ago Dunia ya mwisho hii tunakuomba Allah utujaalie nwisho mwema yani mtu anahadithia mambo ya laana bila kujali wala waswas subhallah mmmmmm 2
  • @
    @dicksonlesijila45423 years ago Kuna sinema niliyoiona kwa maoni tangu ni kwamba huyo hawara yake amempa mbinu kwamba yule bwana ataambiwa watoto so wake ili akasilike awarudishe kwa mama yao halafu huyu. hawara atawachukua watoto wake halisi kirahisi kabsaaaaaaa. Ila wewe ni malay ... 2
  • @
    @sharinv88643 years ago Jamani Huyu mama tena yuko proud kabisa anaongea bila aibu huyu ni malaya alafu si mvumilivu na ni mwenye tamaa hajuwi haya maneno yanaishi siku moja mtoto wake atakutana nayo mtandaoni itakuwa aibu. 2
  • @
    @kamaratsalimsafari88383 years ago Kweli kila second 1 inathamani yake ktk haya maisha yetu👌 11
  • @
    @mussakimaro55883 years ago Huyu mwanamke ndo wakuchoma na gunia za mkaaa Kama 3 2
  • @
    @TheSalma19993 years ago Umepoteza mume mwema ambao ni nadra sana kuwapata mungu ampe mke mwema mwingine sasa hivi hamna wanaume imebaki migume gume 6
  • @
    @sadikimbughi7853 years ago Duu ukitoka ndoa iwe vzrr mwanamke ndo atafny iwe vzrr,,,,maan Bora hata mwanaume akiwa analew anawez kubadlik kupitia mke wake,,,,kuliko mke akiw Malay au gunduu 2
  • @
    @mauamnobwa74123 years ago Wedada unaongea hata wasiwasi huna acha umalaya hata kama hali ngumu,mungu amekataza zinaa haramu eti tukae tu kiawala hata haya huna,muowane tu tena, kwanza talaka tatu kutoa kwapamoja sheria haihesabiki kihivyo hapo inahesabika amekupa talaka moja tu, na mtoto ni wakwake kitanda hakizai haramu hata kama ulichepuka mtoto ni wakwake yani mtalaka wako mtoto ni wakwake, ila zinaa haramu dadayangu akuoe tu tena. ... 2
  • @
    @gotshape54753 years ago Kuweka hadhalani ni kama kutubu . Ongera Dada umeutua mzigo uliokuwa moyoni ,umekuwa mwepesi ! Ni watu wqchache wanaoweza kuweka wazi mambo kama Haya yako 2
  • @
    @felicianhole79363 years ago Duuh! Makubwa lakini bora ujitoe tu ufahamu ili umpe mwenye mtoto alee mwenyewe badala ya kumuachia huyo baba na damu siyo yake Zambia kubwa 1
  • @
    @caslidajosephat89123 years ago Ndiyoana huwa mnauliwaga, hivi huyo mumeo angeamua akuue angekuwa na makosa? Umshukuru huyo kaka hana moyo wa kuua tungekuwa tushakusahau, hata ningekuwa Mimi ningekuwekea hata sumu ya panya. 2
  • @
    @margarethpolepole74383 years ago Malaya sana wewe na huna adabu na siyo mwaminifu ndani ya ndoa 10
  • @
    @shamumaabdala63413 years ago Wanaume wa kubweteka, mara nyingi wanapachikiwa mimba 3
  • @
    @zakyahya46453 years ago Alafu anasema ana miaka 25 ata aibu huna bado unazidi kujitia zambi za uongo nakujua vizur sana taja miaka yako tu 1
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Namshanga badala waende wakapime wamalixe ubishi huyo mtoto kadri anavyokuwa sura inakuwa ya huyo baba yani wewe mwanamke tamaa kwani kukosa kazi ndokukufanye uchepukee??hapo mbeleni utasikia vile kutakuwa 3
  • @
    @jumamgunga54003 years ago Wanawake wa tanga mnaferi wapi.Acheni umaraya 2
  • @
    @nicolenabintu25093 years ago Mume mwenyewe mpuuzi tu (pumbavu kama wangu ) 1
  • @
    @cautharrudolf22573 years ago Kwahyo shemeji alivyokupitia mulienda nae hadi kwenye kufanya hilo tendo au alikuwa anakusubiria mlangoni 1
  • @
    @shabanijumanne86323 years ago Pole sana dada inabiumtolee sauti mtoto kwakumuomba mungu sana asijeakathi tabia yako kwamaana akikua atateseka sana akithi tabia yako
  • @
    @humphreymapunda36843 years ago Kwanza wewe mke wa MTU kwa nini unywe bia 1
  • @
    @yohanaandrew3363 years ago Napenda umekuwa mkweli hou ndio ubinadam.anaekubali ukweli yupo salama 1
  • @
    @rajabuathuman88253 years ago Ww dada hata aibu hauna dah alf watanga utakuwa .msambaa au mdigo pole 2
  • @
    @reymaabintabdillah37273 years ago Sura inamiaka 35 lakin ulim umetamka 25 why? 12
  • @
    @mohammedomar98833 years ago Huyu mwanamke alikuwa jahil amekosea Sana niwakati wake wa kutubu kurudi kwa Mola wake,pia alikuwa hajielewi yeye pamoja na huyo bwana wake wa nje wote walikuwa wapotofu,Mume Ni mume wake halali hata angekufuru akazaa nae watoto 10 kwa huyo bedui bwana wa nje bado watoto kwa sharia ya kiislam bado wengibaki kuwa watoto wa mume wake,Ni ujinga uliopitiliza usio na hata chembe ya akili huyo bwana wake kudai ana mtoto,mtoto huyo kamtoa wapi Ni mtihani tu,hiyo kufanana nae haimuhalalishia kuwa Ni wake,haramu haiwezi kuwa halali,aombe msamaha kwa Allah ... 5
  • @
    @elizaboster94793 years ago Huyu dada kapata stroke jicho na mdomo 1
  • @
    @aminamambi38093 years ago Kulala nashemeji mpk Kazaa nae tena mume warafiki ako tena ukazaa nae mmmmmmh mmmmh jmn unaroho yaujasiri san mmnmmh siwezi walh 2
  • @
    @biashanazallah36683 years ago Siwezi kukulaumu shida uwa zinaweza kukufanya ukachepuka pole xana dadangu 5
  • @
    @ummumayllah80063 years ago Ww omba toba sana Allah akusamehe ,macho makavu yanayothibitisha ushetani wako 1
  • @
    @mohdmbarouk84653 years ago Wanawake Jaman ndio munauchafua ulimwengu kwakweli yaam mtu anaona kheri kufanya uchafu 3
  • @
    @peteryukunda92393 years ago Ndo maana weye ni kijichoo,ungeweza kuleta ukimwi kwa mumeo.Changuu mkubwa. 2
  • @
    @richbird.1232 years ago Sheria YA Dini hairuhusiwi hata akiolewa Na kuachika huyo dada tayari ashazini ndani YA ndoa.
  • @
    @zamzamhassan41593 years ago Duuuh! Wedada nitahiraaaa
    Unasimulia umalaya wako hadharani hii itaishi mitandaoni wanao watakuja kukusikiliza miaka ijayo utavuna ulichowafanyia baba zao
    1
  • @
    @sanisani52663 years ago Kwaiyo kujitangaza uko kwio kinachoshangaza nini nitabia mbaya2 mashemeji uwa wanatest2 sasa hakili yako2 ingekuwa hivyo wengine tungeshatembea nawajomba zetu mababu niumalaya2 ukitestiwa unakubari 1
  • @
    @andallaathman38563 years ago Ndugu yangu dada tubiia Kwa mola wako mnakosea Sana waislam mutakaaje kinyumba mwanzo mpaka mzae mpaka Mtoto afike miaka mitano ndio ndoa hio makosa ndio ALLAH aishasema mzinzi hao Ila mzinzi mwenzie kwahio ww ulikua kahaba ww dada ...
  • @
    @nasramohamed33533 years ago Sasa mm nilikuwa nauliza uyu dada kasimulia aibu yake mtandaoni ili iweje mpk saivi sijapata jibu bado ?manake sisi wanawake ni waajabu sana 1
  • @
    @salamanauthartanzania63013 years ago Daaah yani anasimulia inaonekana hajutii kabisa kwa alichokifanya 1
  • @
    @clementmwakio96563 years ago Ingekuwa ni Kenya hungepata nafasi yakuhojiwa
  • @
    @sharashoka52603 years ago Mtume (s.w.a)amesa shemegi ndyo adui Zaid 1
  • @
    @roseatieno66913 years ago Huyu nae na jicho moja kimebanika kama ya sijui nini . Ni malaya tu ya kawaida basi mtaka yote hukosa yote . Sasa mchana unatom - bwa na mwingine usiku mwingine 😲😲 una nguvu kweli dada . Alafu unsema mbele ya mtandanao kweli unaakili kweli ? . Alafu unasema mtoto sio.wake wakati yeye ndo anaishi na yule mtoto jee akimdhuru ? . Akienda kujifungwa kwao tanga na akaenda kumfunga huyo kaka hawezi kuowa tena . ... 1
  • @
    @zuenajohn83253 years ago Kwa mchaka huu dunia tayari sodoma na gomora. 4
  • @
    @neemammary59853 years ago Tamaaa tu kwanza huo ulimi unavyoufanya unakera mpuuz kbs
  • @
    @sudymgeni7013 years ago Mungu akuepushe mana we kiboko utakosa vingi kweli
  • @
    @MmungaMLTV3 years ago Na unaongea bila ahibu kabisa.
    Yani, Unashangaza kweli.
    8
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Laki moja inakuharibia ndoa🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️hixo ni 5k zakenya ximekuharibia ndoa lkn inaonekana wewe hujatulia 6
  • @
    @saheedali74673 years ago chembe za umalaya zimekuzunguka na wala huwezi kuacha kama hiyo ndio style ya maisha yako.
  • @
    @aishaibrahim56073 years ago Siokweli mi nifnye ujing km huu atakma nitamaa yapesa si bola tuachne tyu 1
  • @
    @aishachambo86633 years ago Dada malaya wewe dah unaadithia huna haya 1
  • @
    @ibrahimgwasma2353 years ago Haina shida ukisamehewa Mambo fresh tu Sie hatuna Shida
  • @
    @activestudios.3 years ago 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣KWAIYO WAUNI KABISA MLIKUWA HAMUONI PISI KALI mpaka kuja kugombana kisa hili DUBWANA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ILA KULITIA MIMBA HILI DUBWANA NI KIPAJI PIA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wasenge hawaangalii sura kubabake 2