Duration 12:34

Ep. 06 Nyama ya Kutupia

59 366 watched
0
1.3 K
Published 27 Mar 2018

Nyama ya kutupia •Nyama ya ng'ombe kilo 1 •Chumvi kwa ladha •Pilipili manga kwa ladha •carry powder vijiko 3 vya chai •Kitunguu swaumu vijiko 3 vya chakula •Mafuta ya kupikia vijiko 4 vya chakula •vitunguu maji 3 vikubwa •Nyanya 3 kubwa •Nyanya ya kopo(tomato pest) vijiko 3vya chakula •Maji yakutosha kuivisha nyama

Category

Show more

Comments - 89