Duration 22:39

LIVE:WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

33 watched
0
0
Published 1 Jun 2021

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa K. Majaliwa leo afungua rasmi siku ya mazingira nchini Tanzania yaliyo zinduliwa mkoani Dodoma kwenye wa ukumbi Hadhina. Waziri akimaliza kwa kusema watanzania tuzingatie usafi wa mazingira majumbani,maofisini n.k lengo ni kuepuka maradhi ambukizi na milipuko ya magonjwa mbalimbali.

Category

Show more

Comments - 0