Duration 5:9

UKWELI Kuhusu SALLAM Kuondoka WCB Kujiunga na HARMONIZE..

27 483 watched
0
182
Published 10 Jan 2020

UKWELI Kuhusu SALLAM Kuondoka WCB Kujiunga na HARMONIZE.. kwa mara ya kwanza meneja wa mwanamuziki, Diamond Platnumz, Sallam SK, amefunguka kuhusiana na tetesi zilizosambaa kuwa eti ameachana na WCB na anatarajia kujiunga na Konde Gang ya Harmonize.. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li Category Entertainment

Category

Show more

Comments - 49
  • @
    @mkalimussa18464 years ago Jamani msikatae kwa asilia mia kwani harmonize tulianza kusikia kam ivo mwisho wa siku kajitoa kwel. 6
  • @
    @amisindondi45494 years ago Hata harmonize alianza hivyohivyo mwisho wapicha alitoka wcb lisemwalo lipo. 1
  • @
    @sadikathumani10034 years ago Mm nilikuw nawaamini sana global lkn naona nanyinyi mnatuletea umbeya kama chanel za udaku habari hauna uhakika kwann uirushe hewani? Kuweni makini vingnevo tutawahama.
  • @
    @geofreymsengi99714 years ago Hawa jamaa niliwaambia bado ni kundi moja ila. 3
  • @
    @princemaster87794 years ago Lisemwalo lipo, na kama halipo? Naomba munisaidie kumaliza hii methali. 4
  • @
    @sailorprugent14364 years ago Sasa itafanywa kiki hiyo atoke kweli ama tayari ni kiki hiyo yakutoka.
  • @
    @nassorokilima66534 years ago Nyie wote waongo na marofa mnataka kiki. 1
  • @
    @esmaelinhoharnandez44794 years ago Ni kweli hayo mambo ama munatafuta kiki. Ikiwa atatoka wasafi itakua kafanya jambo la maanag wasafi ni kundi la watu waovu.
  • @
    @eneolatukio84934 years ago Mmh, mbona kapiga kimya ivo wcb hata kwa treni kwenda kigoma hakuwepo, angekosa kweli huyu trip kama ile?
  • @
    @shaabanramadhan67704 years ago Watu weshaanza kumuwangia diamond wanachoomba nikumuona diamond kashuka ki music uzushi tu kazi yao. 1
  • @
    @iammusic34044 years ago Sallam hajahama nahatokuja kuhama acheni uongo
    juz tu alkua na mond egypt
    mnaanza kutupotosha.
    1
  • @
    @dronemiguel22304 years ago Mmmhh nyie ndio mmeanzisha kudadek zenu achen kutafuta views. 3
  • @
    @michaelnzowa11064 years ago Leo nina unsubscribe channel yenu mshaanza udaku. 1