Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Philip Isdori Mpango, amesema nchi zinazotumia ziwa Tanganyika zikiamua zinao uwezo wa kufadhili shughuli ambazo zitasaidia kunusuru rasilimali ya Ziwa Tanganyika inayokumbwa na changamoto zinazotishia Uhai wake.