Duration 6:56

EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania'

166 593 watched
0
759
Published 22 Mar 2016

Msanii legend wa bongofleva Afande Sele amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea kwanini anataka bangi ihalalishwe kimatumizi nchini Tanzania, tazama hii Interview kisha uniachie comment yako.

Category

Show more

Comments - 236
  • @
    @shaibmakame79818 years ago Afande you speak the truth tanzania ni unafiki tu mwingi wanazuia bangi ila wanachukuwa ushuru wa rizzla big up brother. 2
  • @
    @deusmauka96266 years ago Hongera sana kwa kudili na kilimo na ufugaji. 8
  • @
    @edwinmaruchu55663 years ago Afande uko sahihi sana. Bangi iachiwe. Hata waliofu gwa kwa haya majani ni ubatili. Nchi iliyoendelea ya canada imeamua kuacha huru, baada ya kugundua . ...Expand 2
  • @
    @gabrieladam10654 years ago Mzinga wa konyagi mzima watu wanabugia hafu bangi tu ndo ikatazwe, hapanaa bangi iwe free kwanza ni mboga nzuri sana. 2
  • @
    @ipyanamsomba80266 years ago Afande genius sana, alwayz on point we jamaa. 1
  • @
    @mustafaate37317 years ago Wanazng kweli afande sele nakubl nimekuelewa. 5
  • @
    @aminajafari21266 years ago Mazala ni mengi sio bange 2 hongera afande watakuelewa 2 unaona mbali zaidi ya darubin. 5
  • @
    @sirialemmy378 years ago Jembe langu afande. Hata mimi nikiigonganga, siwezi sahamu theory, concepts, modals zozote kwenye exams zangu. Bangi ni kama roho mtakatifu. 26
  • @
    @greenlight48936 years ago Huku kwetu usa na canada bangi itaruhusiwa inchii zima kuanzia (july 09 2018) 2
  • @
    @mohdmanondo76213 years ago Uyoo mungu si ndo ulomtukana we ndo unategemea upate baraka zake sahau rabda utubu.
  • @
    @rosewamboi90796 years ago Truee waache bangi. I also do smoke bangi it a herb mi kwanza nikiwa mgojwa nikivuta bangi ugojwastory let the government give us freedom.
  • @
    @tatunaally15107 years ago Bangi ajaacha mtu salama huyu bangi zimemchanganya km alisema akifa achomwe yeye ana mungu jua simshangai. 1
  • @
    @youngtz75386 years ago Bangi amani
    kufikiria maisha tu
    ndiyo kz ya bng
    wala sio mbaya kabisa.
    3
  • @
    @henryndosi85696 years ago Wewe bangi imekuzibua unataka na wengine, 4
  • @
    @fredinandonde32926 years ago Safi sana hata mimi nashangaa rizla zinauzwa madukani sijui kwa nini. 1
  • @
    @mohdmanondo76213 years ago Uyo ni mshenzi tu kamtukana mungu yy anajiona ni bora kuliko munguui ee.
  • @
    @loveyourneighbor2048 years ago Umenena ukweli nibora bangi iwe free smoke weed free everywhere. 2
  • @
    @hashimpandu55033 years ago Si dhani kama hata inaingia akilini hii maana bangi hihii leo hii imefanya imtukane mungu je unadhani inaingia akilini je wakati leo hii imesha fanya mtanzania . ...Expand
  • @
    @dennisjulius72064 years ago We must smoke weed always for good meditation tell them reality .. 1
  • @
    @yangaebiasal32373 years ago Daah jamen unafiki wanakura kitimoto unamanisha nguruwe et umewambia ukwer.
  • @
    @mosesmkami51685 years ago Mwenye namba ya afande sele aisee anipe.
  • @
    @jamilaismail80628 years ago Kweli kabisa kuna vitu vinamadhara sana km viroba vijana wamekuwa km mazombie kisa wanachukua kodi na sigara pia inamadhara kisa inalipiwa kodi ndo wanaona . ...Expand 9
  • @
    @charlcoke6 years ago Hahahahahahah na umeivuta kweli ahahahahahaha, hilo jasho aise! 4
  • @
    @neziali69926 years ago Nakukubali kaka mm mwnywe navuta nainatia nguvu hasa nikiamua leo nataka mechi hta bao 8 sna tu nikipata bangi zngu nainjoy sna tu. 4
  • @
    @user-vw5pd3uu9o8 years ago Kaongea kitu cha ukweli kabisa wara hajakosea. 3
  • @
    @fabricemugheni29503 years ago Fabrice mugheni
    mumuache afande sele na amani
    vita ya mungu tumuachie mungu <span id="hidden6"
    akuna ajuae siri ya mungu
    kila mmoja na imani yake
    .
    ...Expand
  • @
    @alliymkobe39496 years ago Sele mungu anakuona
    naukifa utaenda mueleza mungu upotoshaji wako huo.
    1
  • @
    @abdulban96258 years ago Hahaha. Afante umeisifia sana bangi. Eti yachizisha lakini haiui. 1
  • @
    @hawamusumbawanghatognola44708 years ago Ulaya za padwa pia nidawa walipuwe ni ukweli. Africa kwetu walami wanakuja. Kwetu. Kununuwa mashamba hamjui kwa sababu gani. Tuwamukeni. 7
  • @
    @francekomba76155 years ago Afande atabaki kua afande tu msema kweli.
  • @
    @mordreddesantos14926 years ago Daa ukiwa huna elimu huna dini hua km myama. 1
  • @
    @ayoobalqasmi30628 years ago Mmh kiama shangilien tu ila kuna mahesabu tujue. 1
  • @
    @marimalasmi18057 years ago Aisee kaongea point hahahahahah jaman mara mie pastor natembela na waimba kwaya.
  • @
    @elisantemrita98943 years ago Mm situmii bangi ila nilichangamka maneno ya mbunge msukuma + mbunge kishumba na huyu afande sele
    kiukweli naona kunamaali serikali imelala inapaswa iamke.
  • @
    @afropanorama47308 years ago Hivi afande unacheo gani
    mana umeongea point tupu.
    16
  • @
    @johnkaleli52315 years ago Watu wanaosema bangi ni mbaya ndio ambao hawajai onatu. Bangi ihalalishwe. 2
  • @
    @jamesshake84048 years ago Usicho kila wala usikitie hila. Afande sele umegusa ndipo twaishi kwa dunia ilo jaa unafiki na uwoga wa tusio yafahamu na utumwa wa akili. Tulio huru kifikra tupo huru kimaamuzi pia. 13
  • @
    @dicmacwangwe81268 years ago Tarime mkulima wa bangi haxhkk na keel hats viongz wanalima kinyama.
  • @
    @dubabaxakazoom.55306 years ago Mimi bangi ilinikataanikaendesha bike nikaona kama narudi nyuma. 6
  • @
    @halimaamini80157 years ago Wauzwe tu km mboga nilivuta siku moja nikaona kitanda. 27
  • @
    @hawamusumbawanghatognola44708 years ago Afande bravo una akili sana ni ukweli. Mimi navuta mpaka naenda holand. Napia natumia pesa nyingi wambie wajuwe. Nipesa. 1
  • @
    @charlesjustin41005 years ago Huyu ana matatzo kwanza hakuna ajli ya bahat mbaya hata moja
    ilieleweke hlo afende arud shule kwanza.
    1