Duration 15:34

SHULE ILIYOONGOZA KWA UFAULU KIDATO CHA SITA MARA / MWAKANI LAZIMA TUWE KUMI BORA KITAIFA

451 watched
0
11
Published 13 Jul 2021

#Necta #matokeo #Natta Shule ya sekondari Natta ndio shule inayoshika namba moja kwa ufaulu katika mkoa wa mara kwa mara ya pili mfululizo na imeshika namba 13 kitaifa kutokana na ufaulu huo wa mwaka huu wa 2021 kwa matokeo ya kidato cha sita ..Mkuu wa shule MWEMA WARIOBA ameiomba serikali kuongeza madarasa katika shule hio na Mabweni ili waweze kufanya vzuri zaidi kitaifa mpaka kufikia namba tano bora kitaifa ..Pia Makamu mkuu wa shule YUSTER LEONARD ufaulu huo unatokana na uongozi bora kati ya mkuu wa shule na walimu na nidamu nzuri kwa wanafunzi na mahusiano mazuri baina ya uongozi wa kijiji, uongozi wa shule na wanakijiji walio jirani na shule SERRENGETI TV "TUMEKUSUDIA KUKUHABARISHA NA KUKUBURUDISHA"

Category

Show more

Comments - 1