Duration 16:3

YAFAHAMU MAKOSA YA KUJAMIANA NA ATHARI ZA KUTOA MIMBA.

2 288 watched
0
55
Published 21 Dec 2021

#serengetitv ##tumekusudia kukuhabarisha na kukuburudisha ## ^Makosa ya kujamiana# kutoa mimba moja ya matokeo ya tendo la kujamiana baina ya mwanamke na mwanaume ni kutugwa kwa mimba# sheria namba nne(4) ya 1998 imeeleza wazi kuwa ni kosa kutoa mimba au kusaidia mwingine kutoa mimba adhabu yao kisheria ni kufungwa miaka 7 kwamtoaji wamimba pia kwa aliye msaidia na kumshauli mwenzake kutoa mimba ni kifungo cha miaka 14. ##utoaji mimba unamadhara kwa afya pia kitendo hiki kinaweza pelekea mama kuaga dunia Hivyo basi tushilikiane kupinga swala la utoaji mimba ili kujenga jamii bora## kipindi cha mlimzi wa haki ndani ya SERENGETITV *

Category

Show more

Comments - 4