Duration 9:39

RAIS DKT. MAGUFULI AKIWASALIMIA WANANCHI WA SHELUI -SINGIDA AKIWA NJIANI KUELEKEA CHATO MKOANI GEITA

20 950 watched
0
131
Published 27 Nov 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali wa Shelui Mkoa wa Singida Waliokuwa wanamsubiri Barabarani akielekea Chato Mkoani Geita

Category

Show more

Comments - 22