Duration 15:10

BITEKO amaliza kazi Simiyu, akataa makofi “acha tufanye kazi ya Bwana Mkubwa”

18 870 watched
0
103
Published 19 Dec 2020

Waziri wa Madini, Doto Biteko Disemba 19, 2020 amefika katika machimbo mapya ya dhahabu Lubaga yaliyopo mpakani mwa wilaya za Bariadi na Maswa mkoani Simiyu na kutoa maamuzi stahiki ya kuzingatiwa ili kumaliza mvutano uliokuwa umeibuka ukihusisha mgawanyo wa mali baina ya wenye leseni, mashamba pamoja na wachimbaji. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 23