Duration 3:19

Kundi la wazee wa jamii ya wakikuyu Murang'a wafanya maombi

2 749 watched
0
7
Published 30 Apr 2020

Kundi la wazee wa jamii ya wakikuyu kutoka kaunti ya Murang’a wanakutana katika eneo la Mukurwe wa Nyagathanga ambapo ni eneo linalokisiwa kuwa takatifu na jamii ya wakikuyu. Wazee hao wanafanya matambiko kama njia ya kumuomba Mungu kuliondoa janga la Corona nchini.

Category

Show more

Comments - 5