Duration 6:6

AGORA WOOD PRODUCT LTD YAONYESHA MFANO KUTHAMINI UTENDAJI KAZI WA WAFANYAKAZI WAKE ULIOTUKUKA.

142 watched
0
4
Published 7 Jul 2020

Kampuni ya Agora Wood Product LTD ilianza miaka 6 iliyopita na wafanyakazi watano (5) kwa Sasa Ina wafanyakazi zaidi ya 50. Asilimia 90 ni wafanyakazi wenyeji wa Kata ya Mseke. Nguzo zinzozalishwa kiwandani hapo zinanunuliwa kutoka kwa mawakala mbalimbali na shamba la Serikali Sao Hill. Wakazi wa eneo linalozunguka kiwanda hicho wamenufaka na ajira, na shughuli mbalimbali za kibiashara zimeimarika sambamba na ulipaji wa Kodi serikalini.

Category

Show more

Comments - 2