Duration 3:42:4

LIVE: UZINDUZI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF. JNICC JIJINI DSM

18 615 watched
0
141
Published 17 Feb 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 17, Febuari, 2020 anazindua kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya mpango wa Maendelo wa kunusuru Kaya masikini wa TASAF. Hafla inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dsm.

Category

Show more

Comments - 9