Duration 8:29

SILINDE AFUNGUKA BUNGENI, AHOJI CAG KUTOKAGUWA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)

101 170 watched
0
524
Published 23 Apr 2018

Mbunge wa Momba, David Silinde akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo.

Category

Show more

Tags

Comments - 152
  • @
    @kennethmahenge77194 years ago hakuna Mbunge wa chadema mburura......✌🏿✌🏿✌🏿 blessed you all 1
  • @
    @solomonitv78086 years ago Tupigane kwa hoja....Ongera sana kiongoz 12
  • @
    @jadernjackson56684 years ago Genius hakika momba mnakichwa tatz wabunge wengne ni bora liende tu hawapo kwa masilai ya watanzania value for money 👍
  • @
    @johnsonkai49644 years ago Huyu Mbunge apewe nafasi zaidi ya kuongoza na asiende ccm bali abaki Upinzani, maana ndipo mahali ataweza kutetea sisi wanyonge, juu akiwa ndani ya ccm atapewa kiinua mgongo ili anyamaze ili asiongee kama anavyoongea sasa. Huyu ndiye kiongozi wa sisi wanyonge, na nibaadhi ya Wabunge wanayoiweka checks and balance, serikali ya CCM. Hongera Muheshimiwa wetu. ...
  • @
    @sarababi35606 years ago Anayempinga huyu msemaji ana matatizo makubwa. 17
  • @
    @hechechacha40326 years ago Haya ndio mambo ambayo serikali inagangamala tusijue 14
  • @
    @johanesmushumbusi5416 years ago Yaani huwa ninajiuliza kama humu bungeni pasingekuwepo na upinzani pangekuwaje, safi sana David Silinde kwa kuuliza swali la msingi sana. 4
  • @
    @davidnkanda52274 years ago Yaan huyu Mbuge yuko vzr sana anatoa mawazo mazr yenye masilahi kwa taifa letu!!ila kwa sababu ni mpinzani tu serkali itaona hayafai bt ameongea vitu real and fact
  • @
    @rasnchimbi6 years ago Mbunge mmoja wa upinzani ni wabunge kumi wa ccm. 18
  • @
    @gastobruno87796 years ago Mtu mwenye akiri timamu hauwezi kupinga maneno hayo 9
  • @
    @psterinishayo42706 years ago Hongera sana mheshimiwa upo vizur sana 2
  • @
    @mtanzaniamzalendo70016 years ago una hoja nzuuri,mwakilishi mzr,hujatukana ila umeuliza maswala ya msingi 4
  • @
    @amirmotors97356 years ago Ndoo kwanza miaka mitat madarakan madudu kibao alafu mmoja anasema anawatumikia wananch 16
  • @
    @weizsymo62576 years ago HUYU MBUNGE SIJUI NICHAMA GANI. LKN NI AMETOA HOJA ZAKE VIZURI BILA MATUSI,TARAABU WALA VITISHO.UPINZAN WA AINA HII UNATIJA KULIKO WANAOJIVUNIA HOJA NZURI LKN ZAWAKILISHWA KWA MBWEMBWE ,MATUSI , VITISHO NA CHUKI. 2
  • @
    @lazarojohn67526 years ago Mbunge moja wa Chadema Ni Sawa na wabunge 100 wa ccm 1
  • @
    @amossimwaka98676 years ago rais wa jimbo letu momba uko vizur wew hata maendeleo tunayaona safi sana
  • @
    @robertmshana87306 years ago yaani huyu Chris sjui VP, linazungumzwalingine yye hayupo. ndo watz hao 1
  • @
    @saidimasudi64506 years ago Hoja yako mzuri sana.lakini ATC ilisha kufa so rahisi imalize madeni kwa mwaka mmjo na nusu
  • @
    @juliuskato25606 years ago safi kaka nyie ndo watetezi wa wanyinge sio wale wasaka tonge 1
  • @
    @danieliskander96806 years ago Masinde..hapo ninakupinga. Kila jambo linaweza kufanyika kwa fedha za ndani. Hoja iwe ni jinsi gani fedha za ndani zinapatikana?? Je ni kwa utalii..migodi.. ushuru wa bandari au kodi..au vyote kwa pamoja. Mataifa mengi hupata fedha za ndani kwa kufanya biashara nje ya mipaka yao. ... 1
  • @
    @riwaladislaus39136 years ago Barabara hewa tutajie ziko wapi tukathibitishe vinginevyo ni usanii na riwaya zenu ziso kichwa wala miguu
  • @
    @isaackaziulaya37186 years ago Hoja zako ni nzuri kwan kilio chetu wanamomba ni bara ya MLOWO - kamsamba yaani Kwa Sasa haipitiki na bajeti walitenga kazi hatuioni walimtengea Nani hizo fedha
  • @
    @hassanrwitita25036 years ago wakumhoji ndio yeye anayemcotrol spika kila kitu kinatoka kule kuja bungenndio maana kila kitu vululuvululu 1
  • @
    @user-qs9rn2je4c6 years ago yote hayo wahanga ni ss wachin ila watu wajue kuna kesho sio mkifanya wiz wenu manajua yanaishia hap dunian hii paka ahera 1
  • @
    @gastobruno87796 years ago Simba mtoto anaunguluma. Wambie mzee baba. 4
  • @
    @emmanuelhaule44106 years ago Hongera ndio maana uliacha UALIMU kumbe lengo lako lilikuwa KUBWA kiasi hiki uliamua kuwa MDOMO wa wananchi WATANZANIA wanyonge...........Hongera sana ......na hongereni kwa kuchagua JEMBE......
  • @
    @mwajumabakari15696 years ago Eti anawatumikia vizuri watanzania hakuna kitu wanatukandamiza tu watu wa hali ya chini komaeni upinzani mnatupa mengi sana tusiyo yajua
  • @
    @weizsymo62576 years ago Na iman ulijibiwa kwa heshima maana ulitoa hoja za maana kiheshima sio upande flani hivi ambao wabunge wake wanachuki lkn wao wanataka wachekewe tu nanafikiri hutokei chama hicho
  • @
    @emanueleugen85086 years ago Uko sahihi mwakirishi wetu na n sehemu sahihi ya kupata majibu co kulalamika kwenye press conference za zitto
  • @
    @reywilson12886 years ago Kunawakati alidaiwa shirika linaendeshwa kwa hasara. Duh. 1
  • @
    @margweemanuel55876 years ago Nguvu ya hoja, tupigane kwa hoja si kwa risasi 18
  • @
    @sultanferooz90856 years ago Sisi ni wafuasi wenu tupo pamoja sana natuna waunga mkono kilasiku napogania taifa lote
  • @
    @amosethantheking88156 years ago Kunywa Bellere hapo canteen ya bunge ntalipa mimi... 1
  • @
    @erodeshayo86725 years ago Tuko pamoja tunahitaji vijana Kama nyie ktk nchi hii
  • @
    @stevenjackson15826 years ago Ungeuliza kwanza ndege hizo zilipatikana vipi umekuja kuuliza ndege hiyo ilikuwa inadawa imelipwa kiasi gani hatukuewi hapo wewe 1
  • @
    @allyshomvi84456 years ago watanzania ndio watu WA mwisho kwa kufikiri mpa mnauzi ccm imezeheka tena vipufu na vibigoyo tena vichaw
  • @
    @johnrobart94535 years ago Wana wa momba hatukukosea kumleta bungeni huyu kijana ongera Sana
  • @
    @seifmohamedseif93846 years ago ndege hakua inadaiwa ilishikwa kwa sababu ya kesi ya madai ndivyo ilivyo elezwa kudaiwa ndege ina maana ilipiwa nusu wakati wa ununuz 2
  • @
    @kingswebe32516 years ago hujawahi kosea david silinde
    wambie watolee majibu
  • @
    @melissateddybearcossan95066 years ago Wananchi wanataka barabara achana na ndege siyo iliyokupa kura,mnaahidi mtawasaidia maji leo uko busy na kununua ndege
  • @
    @kassimmustafa29816 years ago adui mkubwa was nchi yetu nanukuu ujinga,maradh,na umasikini
  • @
    @kaizenthinkin97246 years ago Wew Mwongo Ndio inaweza wale wanaume siunaona wew uwez Kwasababu ujui 1
  • @
    @paulfrancis71436 years ago
  • @
    @allyabdallaally68536 years ago Mh, kuna vitu vyengine ukivisikia unashindwa hata la kufanya. Ni aibu iliyoje .....sijui viongozi wetu wanatuchukuliaje sisi raia..... Ni wanyama pori, mazezeta au mafunza tunaishi kwa kutegemea unga wa magogo
  • @
    @yohanazacharia33526 years ago serikali hii uongo mwingi kuliko uhalisia
  • @
    @uledimtumwa30456 years ago Haya ndio matokeo ya mianya kubanwa, watu wanafunguka kwa kweli. 1
  • @
    @josephattarimo9996 years ago Hilo la ttcl ndio hoja pekee nilioiyona gud. 2
  • @
    @sebastiansalamba82366 years ago Huko mitaani,hauna ushahidi unapeleka maneno ya kwenye kahawa bungeni aibu 2
  • @
    @musamuyuga87026 years ago huna lolote hayo matatizo ya kukamatwa kwa ndege hizo ni uongonzi wa awamu ya 4 kwa hiyo ulikuwa unatakaje?
  • @
    @t1910j6 years ago "Kukagua" sio "kukaguwa". Tuongee Kiswahili fasaha na tuandike kwa ufasaha.
  • @
    @simonmajigop58906 years ago ndege imeletwa watz tutembee vifua mbele---!!!!
  • @
    @kaizenthinkin97246 years ago Sio Kama Nyie chadema hata chama kuendesha mnashindw
  • @
    @mhojaluchagula33416 years ago sema unadai wew kujua na sio wtz wote .
  • @
    @chrisantgeorge60186 years ago chagadema hamuwez kuingia ikulu kwa hoja dhaifu namna hiyo pumbavu 6
  • @
    @eddybayzor50726 years ago Muulize tundu lisu na wasenge wenzake walio sababisha izuiliwe
  • @
    @thobiasodhiambo95536 years ago Hii serikali ya awamu ya 5 ni serikali ya kusadikika.