Duration 37:13

SWALI TATA JE IBIRISI ALIMFIKIAJE NABII ADAMU PEPONI MASWALI NA MAJIBU SHEIKH ABDULQADIR

Published 24 Jul 2021

Darasa baada ya Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Shariif Abdulqadir Masjid Thaqaf Tandika Jijini Dar es Salaam Tanzania Tarehe 23/7/2021, Darasa ilikuwa ya maswali na majibu ni maswaligani fatilia hadi mwisho upate kuelimika, pia tunaomba usambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni Inshaallah.

Category

Show more

Comments - 1