Mapishi ya viazi karai / Viazi vya madonge
MAHITAJI:
viazi 10
maji vikombe vinne
chumvi kiasi
Unga wa ngano kikombe 1
Unga wa dengu 1/2 kikombe
chumvi kiasi
rangi ya chakula ya orange
maji kikombe 1 na 1/4
Masala kijiko 1 kidogo
Chumvi kijiko kimoja kasorobo
Juice ya ndimu kiasi
mafuta ya kukaangia