Duration 26:13

MPYA: USIKU MMOJA NDANI YA NYUMBA YANGU MPYA 1/4 BY FELIX MWENDA.

59 625 watched
0
528
Published 4 Feb 2020

#FelixMwenda #Simuliximix #Sumbawanga #Uchawi

Category

Show more

Comments - 113
  • @
    @theopisterjovent34836 months ago Kwa sababu ni kaka felix mwenda ndo naisikiliza leo japo wenzangu washasikiliza miaka 3 ila sasa inanoga utadhani imetoka leo nakupenda kaka fm. 2
  • @
    @khadijamohd22993 years ago Kaka felix unasimulia vzr sana mungu akaubariki.
  • @
    @shangwekamando25994 years ago Udugu wangu felix mungu akupe miaka mingi yenye heri na baraka tele na mafanikio yako na ya familia yako. 6
  • @
    @ltlmedia84804 years ago Hujawai kuniangusha mzee baba keep it up. 3
  • @
    @lavenalol59444 years ago Asante kaka felix simulizi hii zuri sana na nimeipenda lakini itabidi nilale na taa inawaka maana ile ndoto ua chatu du, sumbawanga hapana chezea. 4
  • @
    @omaryasmah49904 years ago Duu
    asante
    ila twasubiri tina jomoni.
    1
  • @
    @sweetymanka48213 years ago Jaman kwan simuliz mix ilipoteleaga wap jaman. Felix hans.
  • @
    @rukiaomari49674 years ago Nyumb yang mpya sumbawanga nakuelewag mm mwenzio kak felix. 2
  • @
    @winfridaphilemon81654 years ago Present
    shukrani brother felix.
    6
  • @
    @alexshoo15684 years ago Asanteni sana simulizi mix kwa simulizi zenu nzuri sana.
  • @
    @jznciss95674 years ago Yani apa ndo nawapendeaga kila kukicha vitu vizur tu. 7
  • @
    @thuwaibaabdallah35154 years ago Mh mambo ss ya nataka yaanze asante kk felix.
  • @
    @happytimpiyian13474 years ago Felix barikiwa sana kaka yan mungu akupe afya njema maana unakipaji cha kipekee kwel.
  • @
    @happyluka3284 years ago Dah hakika kaz zenu n njema voko yako2 aichosh kusikiliza bg up kaka felix mwenda.
  • @
    @tamaraseff.97074 years ago Uyu dude ako shwari kusimulia mikasa. Hongera felix.
  • @
    @nibigiramwajuma79254 years ago Asante sana felix kwa burundani za simulizi.
  • @
    @aminaomary49474 years ago Story tamu sana, tuletee na muendelezo wa siri iliyotesa maisha ya tina season 2. 1
  • @
    @isackisack98334 years ago Safi sana felix, ila tunaomba siri ya maisha ya tina season 2. 2
  • @
    @sweetaromakitchen81944 years ago Number one fan, ngoja ncklz uhondo, mweny jina langu khadeejah. 2
  • @
    @shalmasshalmas71754 years ago Jamani mimi simulizi mix bila felix kwangu haidogi. 2
  • @
    @umisidi18164 years ago Asante simuliz mix na anaye tusimulia felix tuko pamoja.
  • @
    @goldenqueen39993 years ago Simulizi taamu. Ila hyo sauti jmny nd yanchanganya mie.
  • @
    @mtotomenah70954 years ago Daahh walai majanga yameanza mapema, hki ngekua mm nsingeingia ndn aise,
  • @
    @yusramwinjuma47214 years ago Duh majanga hayo ndoto ile ilimaanisha.
  • @
    @officialifruit_x75494 years ago Kaka felix tuletee hizi za kuogofya time za mchana bwana watutisha lakini ujue sio vizuri. 2
  • @
    @hendryprosper99504 years ago Nawakubali naombaa link ya sesozon 2_ya hii. 1
  • @
    @ashuraussein75823 years ago Nilikua nakitu ca mwaka siskii simulizi zako brazaasante na enjoy.
  • @
    @khadijamzee27394 years ago Mtunzi wa hizi horror stories is super good!!! Zingepata director akatengeza movie .. 7
  • @
    @foscanekesa80674 years ago Asante sana kwa simulizi nzuri felix ebu niulize season two ya msitu wa gwizulu imo wapi. 2
  • @
    @rukiahamadi62384 years ago Kaka felix i jini wa bahari sehemu 14 ile ya nurdin haipo?
  • @
    @noonalfarsi85044 years ago Felx unasimulia vzr sana
    hongera sanaa kaka
    mungu akubariki katka kazi yako.
  • @
    @SimuliziMix4 years ago Tina season ii inaendelea baada ya kuimaliza hii yenye eps 4 pekee. Tunataraji itakua ni weekend hii. 27