Duration 4:42

UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI ndani ya cage:Faida za kufugia kuku wa mayai ndani ya keji.

15 203 watched
0
83
Published 28 Jul 2021

FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU. Je wewe ni Mfugaji unayependa kukuza kipato chako mara mbili au zaidi tena bila kufanya kazi zaidi au kuongeza idadi ya Kuku wako? Kama jibu ni ndio basi makala hii ni mkombozi wako, hakika utatushukuru mara baada ya kusoma makala hii mpaka mwisho. FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU. 1. Cages husaidia kuimarisha Afya za kuku wako, wafugaji wengi hawapati matokeo mazuri katika ufugaji wao kwasababau wamepuuzia matumizi ya Cages. Cages husaidia sana kuwatunza kuku katika mazingira mazuri yenye kuimarisha afya zao. Cages zimetengenezwa katika namna ambayo zina sakafu ya wavu, Inamaana kuku wakinya mbolea inaangunga chini na wao wanabaki wasafi, na hii inapeleka kupunguza magonjwa yatokanayo na vidudu vilivyo kwenye mbolea. Hii itapelekea kuku wako kuwa na afya njema zaidi. 2. Cages husaidia Kuongezeka kwa Uzalishaji wa mayai na kuraisiha ukusanyaji wake. Kuku wenye afya wanauwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi, mayai au nyama, kama watafugwa kwenye mazingira yenye kujenga afya zao. Kufuga kuku kwenye cages hupelekea ongezeko la uzalishaji wa mayai kwa kiasi kikubwa. 3. Cages husaidia kuwalisha kuku chakula kulingana na mahitaji yao. Mfumo wa ulishaji na unyweshaji wa cages ni mzuri na wakisasa, Mfumo huo huhakikisha kuku wanapata chakula kwa kipimo sahihi kulingana na idadi yao. Hii ni kutokana na sababau kwamba kuku hupata chakula kutoka kwenye bomba lefu na kunywa maji kupitia mfumo wa nipples ambazo zipo karibu yao. 4. Cages hupunguza gharama za wafanyakazi wa kuwahudumia kuku. #mkulimasmart #shambadarasa UFUGAJI WA BROILER KWENYE CAGE Banda Bora la Kuku Chotara: Ufugaji wa Kuku kwa Kutumia ... Faida ya cage kwenye ufugaji wa kuku wa nyama UFUGAJI WA KUKU KISASA:Nunua cage za kuku/vifaranga ... CAGES - KUKU PROJECT Faida za Kutumia Cages Kufugia Kuku Faida sita (6) za kutumia banda la kisasa cage CAGES ZINAPATIKANA KWA WINGI – SHITINDI POULTRY ... Punguzo la bei, cages za kufugia kuku TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA kuku chotara TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI ufugaji wa kuku kwenye cage jinsi ya kutengeneza cages za kuku bei za cage za kuku wa mayai bei za cages za kuku wauzaji wa mabanda ya kuku nyavu za kufugia kuku bei ya mabanda ya kuku kuku project tanzania limited kuku project dar es salaam tanzania

Category

Show more

Comments - 15