Duration 26:36

Women Matters: Mwanaume ni nani Sifa zake ni zipi Udhaifu wake Aunty Sadaka anamchambua

52 316 watched
0
519
Published 31 May 2019

Lillian Mwasha ni mtangazaji aliyejipatia sifa kubwa kwa uwezo wake katika fani hiyo kupitia kipindi chake cha Terminal kinachoruka kila Jumamosi kupitia Clouds FM. Ana passion ya kuzungumza masuala yanayowahusu wanawake na uhusiano wao na wanawake. Kupitia passion hiyo, amekuja na kipindi chake kiitwacho #WomenMattersWithLillianMwasha ambacho kitakuwa kikiruka hapa SnS.. Anaungana na wanawake wenzake, Aunty Sadaka, Mama Deborah na Babysky kumzungumzia mwanaume na kumwelewa zaidi pamoja na mahusiano. Enjoy

Category

Show more

Comments - 128