#Deepstory inafikia mwisho na kutupa picha ahalisi ya maisha ya wasichana wa kibongo wanaoenda kutafta maisha kwa njia haramu nje ya nchi.#Prettykind ametusimulia na anatueleza pia sababu ya wkanini ameamua kusema story hii ambayo kwa baadhi wanaona ni jambo la AIBU...