Duration 53:22

RAIS MAGUFULI AKIMUAPISHA JAJI ZEPHARINE NYALUGENDA GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI

9 386 watched
0
106
Published 2 Feb 2021

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji mteule Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania , Jaji Galeba aliteuliwa kushika nyadhifa hiyo baada ya kuonyesha uzalendo kwa kuweza kutoa hukumu kwa lugha ya kiswahili katika kesi ya Mgodi wa North Mara dhidi ya Gerladi Nzumbi.

Category

Show more

Comments - 0