Duration 1:8

Watumishi wanaolipwa Sh3,240,000 kwa mwaka sasa hawatakatwa kodi ya mapato

923 watched
0
2
Published 11 Jun 2020

Serikali inakusudia kufanya marekebisho kwenye sheria ya kodi ya mapato ili kupandisha kiwango cha mapato ya waajiriwa ili kuongeza kiwango cha mapato yasiyotozwa kodi kutoka Sh 2,040,000/= kwa mwaka hadi shilingi 3,240,000/= kwa mwaka ili kutoa unafuu wa kodi ya mapato kwa wafanyakazi. #AzamBajetiKuu2020 #AzamTVUpdates #AzamNews #AzamBajeti2020 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 2