Duration 3:16

Exclusive: Ferre Gola atua bongo/ Apagawa na warembo wa Dar/ Matabaka na wasanii wa Tanzania

538 watched
0
23
Published 23 Dec 2021

Mkali wa rhumba kutoka DRC Kongo, Ferre Gola amewasili leo nchini Tanzania jijini Dar es Salaam kuja kutumbuiza kwenye mashindano ya kumtafuta mlimbwende bora wa Afrika Mashariki, Miss East Africa 2021 ambayo yanatarajiwa kufanyika siku ya desemba 24, 2021.

Category

Show more

Comments - 0