Duration 4:26

DULLA MAKABILA anunuliwa gari jipya na mke wake, aweka video hii na kuandika haya

6 461 watched
0
107
Published 21 Dec 2021

#DulaMakabila

Category

Show more

Comments - 28
  • @
    @samboy37103 years ago Ni wengi wanatamani wazawadiwe na wake zao. Pongezi king dullakutamba.
  • @
    @maloomaalmnsj51113 years ago Mh jamani kunawatu wana roho mzuri mie buku sikupi nanikukupa urudishe.
  • @
    @maspro62943 years ago Hilo sio gari jipya nyinyi watangazi ongeeni facts semeni used car na model ya zamani jilekebisheni watangazi.
  • @
    @happynelson11363 years ago Alioa lini yaani mwanamke anamnunulia jamaa gari huo ni uongo kama ningekuwa na mwanaume bongo hata pesa nisingemtumia.
  • @
    @vanessalaizer43633 years ago Unaanzaje kumnunulia gari mbaba? Ndio mwanzo wa kujitaftia kilio.
  • @
    @D-Man.B-Free3 years ago Jipya zina facts zipi? Rudi shuleni mkasome facts hizo.
  • @
    @saidfhamad3 years ago Samahani kaka ila nahisi hili gari sio jipya ni used from Japan!! 2