Duration 2:5

MAALIM SEIF:ACT- WAZALENDO HAIWEZI KUFUTWA SASA

4 078 watched
0
22
Published 17 Jul 2020

Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa kauli hiyo leo Julai 17, 2020 wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa jimbo la Mbagala wakati ziara yake ya kukagua uhai wa chama hicho. Mwenyekiti huyo ambaye aliwahi kuwa makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar ametoa kauli akijibu barua ya msajili iliyosambaa mitandaoni ambayo inaeleza huenda chama hicho kikachukuliwa hatua kutokana na mwenendo wake usioridhisha. MAALIM SEIF. AMCHAMBUA MEMBE, ASEMA ANATOSHA NA NI MTU MWAMINIFU /watch/4gWeNbE4fJG4e

Category

Show more

Comments - 9