Duration 7:1

MTANZANIA ALIYEKATWA ULIMI '' NIMESHAPOKEA ZAIDI YA MIL 3''

81 130 watched
0
476
Published 26 Aug 2019

Salim Mohamed mkazi wa Tuangoma DSM, anaishi bila ulimi kwa takribani miaka kadhaa sasa, Salim anasumbuliwa na kansa ambayo ilianza kama kipele mdomoni lakini kila baada ya muda kiliongezeka ukubwa na alipoenda Hospitali akaambiwa aende India. _ Japo ilikuwa ni kwa mbinde kutokana na hali ya kiuchumi lakini Salim alifanikiwa kwenda India na alikatwa ulimi na kuwekewa nyama iliyotolewa kwenye paja lakini baada ya kurejea Tanzania nyama ile nayo imeisha na sasa hana ulimi kabisa, limebakia shimo tu mdomoni. _ Mke wake anasema wameuza kila kitu ili kugharamia matibabu lakini mpaka sasa Mume wake anaishi kwenye maumivu makali sana, kwa ambaye ataguswa anaweza kutoa msaada wake kwa Mawasiliano ya Namba

Category

Show more

Comments - 201