Hali ya usalama imesalia tete kwa siku nyingine eneo la Kapedo kaunti ya Turkana huku idara ya usalama ikianzisha oparesheni ya kiusalama eneo hilo. Oparesheni hiyo inalenga kuwakamata wahalifu waliohusika na uvamizi na hata kumjeruhi afisa wa GSU hapo jana. Haya yamejiri huku waziri wa usalama Fred Matiang'i akiongoza mkutano wa kiusalama hapa Nairobi. Na kama Mashirima Kapombe anavyotuarifu, baadhi ya wakaazi wameanza kutoroka makwao wakihofia usalama wao.
Category
Show more
Comments - 43
Related videos for Oparesheni kali kusaka majambazi waliomuua afisa wa GSU yaanzishwa Kapedo: