Duration 6:18

Cloud 112 baada miaka mitatu nje ya nchi kaja na hii Good News

58 427 watched
0
263
Published 4 Jul 2017

Staa wa Filamu wa muda mrefu katika industry ya Bongomovie Issa Mussa maarufu kama Cloud 112 ambaye alikuwa nje ya nchi kwa takriban miaka mitatu amerejea Bongo na kusema amekuja na zawadi kwa Watanzania..

Category

Show more

Comments - 42