Duration 4:33

ONYANGO Afungukia UMRI Wake, Amtaja KAGERE - Zile NDEVU Wakajua MZEE

215 315 watched
0
905
Published 19 Aug 2020

ONYANGO Afungukia UMRI Wake, Amtaja KAGERE - "Zile NDEVU Wakajua MZEE" KIKOSI cha klabu ya Simba, leo Agosti 19, kimeendelea kufanya mazoezi katika uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar… Global TV tumefika katika uwanja huo na kushuhudia mazoezi hayo ambapo pia tumepiga stori na wachezaji wakongwe ndani ya klabu hiyo, Nahodha John Bocco na Shomari Kapombe, pamoja na wachezaji wapya waliosajiliwa siku chache zilizopita, Chriss Mugalu na Onyango… Wachezaji wa Simba wanafanya mazoezi ya kufa mtu wakijiandaa kuvaana na klabu ya Vital’o kutoka Burundi katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa siku ya Jumamosi Agosti 22, katika kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika uwanja wa Mkapa na Uhuru…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 147