Duration 19:37

PART 1: BIBI MUOKOTA MAKOPO MAARUFU DSM, NI WIFI WA MAMA MARIA NYERERE NAIPENDA HII KAZI

131 094 watched
0
742
Published 1 Oct 2019

PART 1: BIBI MUOKOTA MAKOPO MAARUFU DSM, NI WIFI WA MAMA MARIA NYERERE "NAIPENDA HII KAZI" Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria Nyerere, ambaye anafanya kazi ya kuokota makopo ili tu miguu yake isivimbe... Bibi huyo ambaye hajui umri wake lakini kutokana na kumbukumbu alizonazo anakadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 80 ameelezea maisha yake kuanzia enzi za ujana mpaka sasa akiwa anaishi na wajukuu zake tu baada ya kufiwa na watoto wake wote wanne.. Hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Bibi Huyu, sehemu ya pili itakujia hivi karibuni.. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?list ...

Category

Show more

Comments - 416