Duration 21:36

MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA

229 943 watched
0
1.6 K
Published 3 Jul 2019

MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA" Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya 'Mahaba', amepiga stori na Global TV na kuizungumza tamhiliya yake pamoja na soko zima la filamu... Mwijaku pia amezungumzia kuhusiana na ndoa ya mwanamuziki Alikiba inayodaiwa kuvunjika, akiwa kama mtu wa karibu na Kiba, amesema ndoa hiyo haijavunjika isipokuwa kuna migogoro ya hapa na pale inayosababishwa na mwanamke huyo kutokubaliana na ukweli kwamba mumewe ni supastaa wa dunia... #MWIJAKU #ALIKIBA /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 736
  • @
    @rahmaismikhan26225 years ago Mwijaku you a the hammer that nails exactly where its supposed to be. We ni mwalimu, you inspires me brother. Lots of love from kenya. 8
  • @
    @ingabireflavia93295 years ago Mwijaku i love the way you reason your the only tanzanian sofar who talks his mind, like your realness, your boldness you dont sugar coat wrong doers big up bro. 4
  • @
    @ibrahimbashir47785 years ago Mwijaku king kiba original, afu hafichi kabisa, that' s what we call love. 27
  • @
    @christophersoty1015 years ago Jamaa nongea ukweli ila hakuna anayekubalika na woote
    binafsi nimemuelewa sana big up mwijaku.
    34
  • @
    @vitalesgalus80045 years ago Broo mwijaku kifupi unajua kuelimisha jamii upo good big up sana ukwelri diamond shida anatamaha sana ukwelri hakuna binadamu mkamilifu kizazi sana dingi hoooyoo. 15
  • @
    @amidumahoro27835 years ago Huyu jamaa niwakueshim na anajieshim na anajielewa big up bro endelea kutuelimisha. 23
  • @
    @ericklibaba11985 years ago Interview za mwijaku ni hatari. Hasa akigusa mambo ya mahusiano aah. 3
  • @
    @nicksonmgale46995 years ago Aliyemuelewa kama mwijaku ni team kiba gonga like. 271
  • @
    @wemakalamu35385 years ago Mwijaku asante kwa maneno kuntu duu nimekuvulia kofia. 19
  • @
    @kwilabyalulyehohenry2605 years ago Umegusa point bro mpaka iishe dunia hatatokea binadamu mkalifu hiyo pointing. 17
  • @
    @mdmubrak81525 years ago Kama unaangalia enter view ukuunasoma comment gongalike twende sawa. 412
  • @
    @mussahamissimba68895 years ago Kuna filam kali sana maneno ya kuambiwa ni kali. 4
  • @
    @lydiathadeous66445 years ago Nakukubalii sana ila sio patient ni passion. 2
  • @
    @cleosaferista42555 years ago Bro salut kweli, unachokiongea ni ukweli. From burundi! 3
  • @
    @worldstartz5 years ago Mwijaku yuko vizuri kwenye kazi, sema anazingua. 4
  • @
    @mhehear5 years ago Uko vizuri sana na nimeikubali maneno yako 80% safi sana. 15
  • @
    @mussakizingiti35525 years ago Kama kuna mtu anaijua tamthilia iitwayo maneno ya kiambiwa gonga like maze twende sawa. 90
  • @
    @mohammed.alghurabaa92664 years ago Du hapo kwa hofu ya allah s. W. Nikweli mwijaku. Hofu ni dini salut mwijaku. 1
  • @
    @Mzee_Kobe2545 years ago 1st time kumwona mwijaku. That guy is real, but usiyataje majina ama ukazoea kuwaongelea hao wasanii wa kibongo, iyo tamthilia nitaanza kuiangalia hope . ...Expand
  • @
    @kacheali47775 years ago Nakubali ulivyo ongea kuhusu mavaz ya waigizaj kuvaa vibaya, tabia za diamond mungu wasaidie wawe n hofu ya mungu. 8
  • @
    @hamisiharuna30995 years ago Ukijisifu sana mwisho unajisifia ujinga, kwa bongo kwa sasa hakuna tamthiria kama maneno ya kuambiwa by kitale. 7
  • @
    @onyinyeclara74105 years ago Mmh mzee baba unajua mambo ya watu weyee hataree.
  • @
    @zizinezuzu85795 years ago Tamthiliya ya maneno ya kuambiwa ndo namba one in tzt hakuna kama kitale. 183
  • @
    @halimasssomar87935 years ago Mwijaka una jisifia sana bana. Kuna maneno ya kuambiwa ina pedwakama umeifikia iyo thamthilia ya maneno. Ebu tafuta mda uifatilie. Mm naipenda sana maneno.
  • @
    @salomegeorge70275 years ago Wabongo kwa umbea ni nambakuchunguzana mpo. 1
  • @
    @beatricejoseph35375 years ago Mwijaku mimi nakupendaga tuu mambo yako. 4
  • @
    @aminabukenya2315 years ago Shikamoo mwijaku umeongea kweli domo yafaa abadilike bila hvyo hta maliza dada zetu. 9
  • @
    @yusuphmussa65895 years ago Live kaka ndugu yangu wa kazulamimba
    me wa nyamoli kigoma.
    2
  • @
    @geeva995 years ago Seriously huyu jamaa ni most entertaining guy in tz right now dah mecheka sana. 1
  • @
    @andygal56055 years ago I' m floating, hii kiswahili ya tz ni tafash. 1
  • @
    @salvatorysamson33415 years ago Ujaona maneno yakuambiwa ww kaa kimya iyo mahaba mavi tuu. 14
  • @
    @jescajacob44455 years ago Mwijaku kaka angu mi nakupenda sana uigizaji wako sana napend sana kuna vitu unanifundisha ila mimi naweza kuigiza mahaba ya mke na mume sehemu nyingi sana naweza.
  • @
    @eliasjames1485 years ago Sizan kama kwa sas kuna kitu kama maneno ya kuambiwa ase. 5
  • @
    @paulmafuru72835 years ago Hapo nimependa kauli yako ulosema no one is perfect so ngoja tu nimrudie dem wangu alonisalit. 19
  • @
    @uwingeneyeshadia76975 years ago Usijisifie uyo mtoto humjuwi uliza kwanza kwani aliye kudanganyana km tamthilia yako ninzuri kuliko zingine nani acha kuji proud bwana, km maneno ya kuambiwa . ...Expand 1
  • @
    @missmoona44975 years ago Nimefurah kusikia kiba bado yuko na amina duh niliyo yasikia talaka 3 duh wa tz shikamoni. 93
  • @
    @habibasalim30925 years ago Vizuri kabisa brother that was my thoughts.
  • @
    @songajr89625 years ago Mwijaku aisee una majivuno sana shikamoo waha.
  • @
    @gamechanger96465 years ago Tamthilia ya mahaba ni moto kwa kweli from 254.
  • @
    @kytetmackam66695 years ago Kama nawe unamkubali mwinjaku gonga like hapaa. 74
  • @
    @com_sci1235 years ago I luv u mwijaku kweli ali kiba ni star duniani.
  • @
    @faizadulla86635 years ago Mwikaju namjulia kofia ana sema ukweli mtupu na ni muelewa.
  • @
    @ibrahimhery56135 years ago Nakukubali sannaa kaka mwijako. Ivi ulikuawapi mdawote.
  • @
    @innallahmaaswabirin2935 years ago Mwijaku, that girl isimbi she is very serious i m telling you. I support her from. 29
  • @
    @ladymashaallahilikeuaadvis9975 years ago Jamani mm kaka mwijaku huwa nakukubali sana, lkn naomba ujue kiba pia alizaa nnje na wanawake tofauti. 30
  • @
    @aminamgaya75115 years ago Hivi mwijaku ushawahi kuangalia maneno ya kuambiwa ww au unaropoka tu. 5
  • @
    @bakarimngazija66725 years ago Endeleeni kutusaidia katika maisha ya kila siku na vijana wetu. 2
  • @
    @ilhammshana2345 years ago Namkubali mwijaku lkn kitendo cha kusema tz hakuna tamthilia ispokuahiyo nasema hapana yan hata maneno ya kuambiwa bro? 10
  • @
    @rosemakange81635 years ago Hofu ya mungu ni kweli wale watoto kuwanyima raha ya baba mungu anamuona! 2