Duration 1:13

Zuma aanza kutumikia kifungo jela

1 919 watched
0
10
Published 8 Jul 2021

Baada ya kujaribu kukwepa mkono wa sheria kwa wiki kadhaa, rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha mwenyewe kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani kwa kuipuuza mahakama.

Category

Show more

Comments - 2