Duration 39:16

LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIMUAPISHA DKT. MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

31 193 watched
0
326
Published 3 May 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Tukio hilo litarushwa moja kwa moja na vyombo vya habari kutoka Chato Mkoani Geita, kuanzia saa 4:15 asubuhi.

Category

Show more

Comments - 80