Vitumbua– A healthy coconut and rice vegan donut or pancake. This sneaks are very common in East Africa Region. You can have it with a good spicy cup of tea (chai)
Kama unapenda vitumbua, kwa Video hii utajifunza kwa urahisi jinsi ya kutengeneza vitumbua na kila siku utapata vitumbua vitamu, lakini na rahisi kutengeneza.
MAHITAJI:
Mchele vikombe 4 (loweka usiku kucha)
1 1/2 vikombe -tui la nazi
Kijiko cha chai 3 -Hamira
3/4 ya kikombe cha chai -sukari
Kijiko cha chai 1 1/2 - Iliki