Duration 19:2

FULL VIDEO: Ilivyokuwa mpaka Wabunge wa Upinzani wakatoka nje

176 626 watched
0
432
Published 7 Feb 2017

Wabunge wa upinzani kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wametoka nje ya ukumbi wa bunge hilo leo February 7 2017 kwa kudai kwamba Naibu Spika Dr. Tulia Ackson amekataa kujadiliwa kwa ishu ya Mbunge Tundu Lissu kukamatwa na Polisi nje ya ukumbi wa bunge jana February 6 2017.

Category

Show more

Comments - 82