Duration 38:20

VIDEO: WIMBO wa ALIKIBA SO HOT ULIVYOTENGENEZWA STUDIO | InTheStudioWithKIMAMBO

77 269 watched
0
1.2 K
Published 11 Jun 2020

Mtayarishaji wa wimbo wa ALIKIBA "SO HOT" KIMAMBO amepiga stori na Rick Media kuhusu namna ambavyo aliweza kukamilisha wimbo huo na Alikiba. Hii ni kazi ya kwanza ya Kimambo na ALIKIBA lakini kwa mujibu wake anasema ALIKIBA hayuko kama watu wengi wanavyodhani yuko ........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com ----------------------------------------------------------------------------------- #ALIKIBA #KIMAMBO #SOHOT

Category

Show more

Comments - 89
  • @
    @jamesrobert88904 years ago Maproducer wakifanya ngoma na alikiba na wao lazima watrend kinoma mfano angalia mocco genius, abbydaddy , man water na wengine kibao . respect sana alikiba uko juu vibaya . 34
  • @
    @kingman55584 years ago Uko vzur kimambo, nimepata mzuka sana nije tufanye ngoma 7
  • @
    @najimmoshi7984 years ago Kimambo on the beat nakukubali Kaka kimbizaaa Ndugu yangu 7
  • @
    @tizotouchz4 years ago Safi bro mm nawafwatilia sanah an niproduser 6
  • @
    @Mjingafaki4 years ago Kimambo unajiamini sana bro mungu akujalie kila lakher 6
  • @
    @dammyflavour_official4 years ago Aaah kimambo muziki unaujua bro blessed sana ure like blessed hands from tanzania 4
  • @
    @PhilipoMabula-ky9vs2 months ago Kimambo umenipa kitu kichwani one day My brother tutafanya kitu 🔥
  • @
    @abuuseugendo4 years ago Jamaa anaongea smart sana sio mchoyo wa kutoa madini 11
  • @
    @eliasboniphace97194 years ago Aseee, huyu jamaa namkubali kinyama an, anacheza na wasanii wanaojua uimbaji kiundan 2
  • @
    @bwemerejohnkorora96394 years ago You are talented and genius Kimambo.
    Thank you Rick media 😘😘😘
    8
  • @
    @onejimeljim20104 years ago Hii ni poa sana PROD ,naomba unifunze FL studio please,namipia ni producer kutoka Congo drc,naitajimusahada wako 3
  • @
    @rahmaakida31064 years ago Rick kaka kam naweza pata kujua mazingira anapo patika kimambo kupitia wew ingekuwa poa sana mana dah nakubal kaz zake 1
  • @
    @Asilimedia874 years ago Saf sana unaweza kutengeneza bt hakka kba ametoka nayo kwel 1
  • @
    @mbarakahatibu32964 years ago Me jamaa nlidhani mzee kumbe Serengeti boys😂😂 4
  • @
    @gabrielmzomkunda48814 years ago PAPA NI PRODUCTION KALI KULIKO ZOTE AFRICA
  • @
    @directoridd58934 years ago Wanaojua huwa sio wachoyo coz wanajiamin wasio jua ni wachoyo na wanahofia kuzidiwa kimbo keep harder 2
  • @
    @negrowaminoty77564 years ago Siku nyengine usituoneshe sura yake tuoneshe anacho Fanya km umekusudia kutufunza safi 5
  • @
    @yousufyousuf30564 years ago Kazi safe sana. Great from Muscat. Oman 3
  • @
    @pascalpithae23703 years ago na enjoy sana pia nimejifunza sana kupitia channel hii imenitengenezea njia ya kwa YOGO BEATS thank you rick media 2
  • @
    @ikabako24544 years ago Genius ! Wewe jamaa ni very exception. 1
  • @
    @narbasclement10864 years ago Huyu jamaa nimemuelewa xn ni htr kwa Afya. 4
  • @
    @michaelayubu42524 years ago Kaka nataka kutoa kaz na mimi pia vp nitapataje mawasiliano na ww 1
  • @
    @khalifajuma55694 years ago ushauri wangu wewe una hoji, hoji kitu unachokijua, unauliza vitu vingi kama unavijua lkn unavikosea unavyouliza so unaboa wanaosikiliza na ata unae muoji??? so get prepared kwa vile vitu unavyotaka kuuliza kwa unae muhoji kabla ya kwenda kumuoji.... Ahsante. ... 2
  • @
    @fabianmainchanyangachika50174 years ago Hiyo studio iko wapi? Mimi Niko Mara natamani kufanya kazi humo, na ni Bei gani? 1
  • @
    @donglakxytz57734 years ago maojian bain ya maproducer yataxaidia kutoa vipaj kwa wale waxanii wa chin kwan tutajua producer yup ni mzr kweny kutoa vipaj vya waxanii walio chin 2
  • @
    @MrMtulivu4 years ago That is very true producer is very important but people doesn't know that. I have say something like that but I think people he did it get my point. +39 1
  • @
    @young_mmbaga4 years ago BRO MI NLIDOWNLOAD INSTRUMENT YA NYIMBO HII NA NKAPITA NAYO KAKA KASORO TUU NMESHINDWA PALE KWENYE
    YOU SO HOT!
    2
  • @
    @Kajo_Bizzo4 years ago Kimambo nimeisoma kaka ukovizuri, ila usilala endelea kukomaa maanagem linachange kilasiku
  • @
    @martinejacob144 years ago Bro connect me to kimambo plz a have some few words to talk with him about music ,,,,pls 3
  • @
    @mannemaker64723 years ago Nipo nanyi ,msinisahau kunisubscribe nawapenda sana, all sex 2