Duration 9:46

MEMBE AWEKA WAZI MAMBO YALIYOMTOA CCM/ HIZO NI DHARAU

38 576 watched
0
192
Published 1 Sep 2020

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea). Membe alifukuzwa CCM tarehe 28 Februari 2020 akituhumiwa kukiuka miongozo na taratibu ya chama hicho tangu mwaka 2014. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 144