Duration 7:20

DC KINONDONI AMVURUGA MCHINA, AMVAA JUMLA/AGOMA KUONGEA KINGEREZA

82 073 watched
0
220
Published 31 May 2019

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam, Daniel Chongolo ametoa siku 30 kwa kampuni ya CRJE inayojenga kiwanda cha kuchakata taka katika eneo la Mabwepande kuhakikisha anaongeza kasi ya ujenzi na asipofanya hivyo atavunja mkataba na kampuni hiyo.

Category

Show more

Comments - 110