Duration 1:28:17

NDOTO NA SIKU ZETU: BISHOP GWAJIMA IS LIVE NOW: 02.08.2020

44 248 watched
0
468
Published 2 Aug 2020

TAREHE 02.08.2020 SOMO: NDOTO NA SIKU ZETU -Kwenye Biblia kuna ndoto 21 kwanini waota ndoto ni wachache lakini ndoto ni nyingi kwasababu MUNGU ANAZUNGU MZA NA WATU KUPITIA NDOTO. SABABU ZA KUOTA NDOTO ZINAZO JIRUDIA -Mungu anaongea na watu kupitia ndoto. Anaweza kuongea na wewe hata mara tatu kama ujatendea kazi kile alicho ongea na wewe kupitia ndoto. ‭‭MHUBIRI‬ ‭1:3‬ “Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?” 1/ Ndoto huja kwa wingi wa shuhuri hunazo zifanya 2/ jambo unaliota lime hakikishwa -Mungu haluhusu matatizo ya kupate, Mungu ana kutengeneza wewe ili upigane vita na maadui wote wanao kufatilia. -Mungu akitaka kukupigania anakupa nguvu za kupigana katika vita itakayo kuja kukukabili. -Kuna kazi zingine hazi wezi kutokea mpaka ufunge na kuomba . KUNA NDOTO WA KATI WA ANAGO LA KALE NA KUNA NDOTO WA KATI WA AGANO JIPYA ‭‭MWANZO‬ ‭20:1-3‬ “Ibrahimu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari. Ibrahimu akamnena Sara mkewe, Huyu ni ndugu yangu. Basi Abimeleki mfalme wa Gerari akapeleka watu akamtwaa Sara. Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia, Umekuwa mfu wewe kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemtwaa, maana ni mkewe mtu.”‬‬ -Neno ndoto limeanzia kwenye kitabu cha mwanzo -Unapo otandoto siokwamba ndio inatokea wakati huohuo, Ndoto huja kama taarifa juu ya jambo fulani litakalo tokea siku au wakati ujao. -Kwenye agano la kale unapo ota ndoto siokwamba litatokea ‭‭MWANZO ‭40:1-9‬ “Ikawa, baada ya mambo hayo, mnyweshaji wa mfalme wa Misri, na mwokaji wake, wakamkosa bwana wao, mfalme wa Misri. Farao akawaghadhibikia maakida wake wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji. Akawatia katika lindo nyumbani mwa mkuu wa askari, humo gerezani, mahali alipofungwa Yusufu. Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumu, nao wakakaa siku kadha wa kadha katika kifungo. Wakaota ndoto wote wawili, kila mtu ndoto yake usiku mmoja, kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake, mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri waliofungwa gerezani. Yusufu akawajia asubuhi, akawaona wamefadhaika. Akawauliza hao maakida wa Farao, waliokuwa pamoja naye katika kifungo, nyumbani mwa bwana wake, akisema, Mbona nyuso zenu zimekunjamana leo? Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, Kufasiri si kazi ya Mungu? Tafadhalini mniambie. Mnyweshaji mkuu akamhadithia Yusufu ndoto yake; akamwambia, Katika ndoto yangu nimeota, uko mzabibu mbele yangu. -Kwenye kitabu cha Mwanzo kuna story za watu wa wili waliota ndoto nao ni Mkuu wa mwokaji na mkuu wa mnyweshaji. -Unapo ota ndoto unapewa talifa juu ya jambo fulani linalo kuja kutokea baada ya siku tatu ,wiki , mwezi au mwaka kabisa.Kila mtu na ndoto yake -Ndoto huja kama talifa juu ya jambo fulani ambayo halijatokea ila Mungu anakupa tarifa juu ya jambo litakalo kuja kutokea ili ulitendee kazi. -Ukiota ndoto ambayo haina fomura basi hakika hiyo ndoto itatokea kwa siku chache zijazo. Nakama ukiota ndoto alfu aijatokea ujue kuna mchoro Rohono -Ndoto za zamani zilikua zinatokea lakini ndoto za saivi zina tabiliwa. -Ndoto utafasiliwa kwa utulivu ndoto - Ndoto ya agano jipya inaanza ivi Yusufu alikuwa mwenye haki ndio maana hakumuabisha Mariam, ndipo akatokewa na malaika kwenye ndoto KANUNI 5 ZA NDOTO: 1/Ndoto lazima iwe kubwa kuliko uwezo wako wa kimwili 2/Ndoto inayotoka kwa Mungu lazima iwe ya kutisha 3/Ndoto ndogo haitokagi kwa Mungu 4/Ndogo ya Mungu huwa ni kubwa sana 5/Muota ndoto hafi -Ndoto ya mtu ndani yake ni mapenzi Mungu. Kwenye Agano jipya unaweza kuota ndoto na ukaibadilisha. -Ndoto kwenye agano jipya unaweza kuiepuka kama ilivyo pangwa -Unailetaje ndoto kwenye maisha haya tunayo ishi. Ndoto tunzo ota ni tofauti na za kwenye Biblia. AGANO JIPYA NA SAIVI NI TOFAUTI: -Unapokua umelala wachawi wana kuja wakiwa wamejibadirisha maumbo yao na kutumia maumbo ya watu wengine ili kukujia katika ndoto na kutimiza wanacho kitaka. -Ukiwa umelala kila jambo linalo tokea uendeshwa katika ulimwengu wa Rohoni ndio maana mchawi akija kwako anajibadirisha umbolake. -Kwenye ulimwengu wa Roho kila jambo linalokuwa linaendelea na kufanyika huwa linafanyika katika ulimwengu wa Roho. KUNA AINA TATU (3) ZA MARAFIKI. 1/ Confidant 2/Constituents 3/ Comrades -Mungu huya beba maneno ya watu wake na kuya timiza. -Kila jambo na wakati wake kuna wa kati wa kutupa mawe, kuna wakati wa kukusanya mawe, kuna wakati wa kulia na kuna wakati wakucheka.

Category

Show more

Comments - 154
  • @
    @estasage55064 years ago I cannot get enough of this precious man of God. I'm a congolese from the congo DRC but I love Tanzania because of my brother Dr. Gwajima and Dr. Magufuli 19
  • @
    @keithgitau15163 years ago Samson kutoka Mombasa nafarijika na mahubiri yako mchungaji Asante ulindwe na mungu🤷‍♂️🤷‍♂️ amen
  • @
    @joycemwaipaja46184 years ago Jamani nilikumis we baba Bwana akutunze nimepata maarifa mengi sana kupitia wewe 2
  • @
    @janetjanet86692 years ago Na pokea kuona kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai ubarikiwe sana jitu la mbinguni 💪🙏🙏
  • @
    @annkim26904 years ago Jamani wapendwa tusikome kuomba kabisa tutie bidii kweli Mungu yuko 6
  • @
    @margaretkarambu936last year Jamani, Askofu huyu yuko tofauti sana na wahubiri wengine.Hatumii makorokoro yanayotumiwa na wengine.Yuko Sawa sana Kwa neno la Mungu.Tunampenda sana.
  • @
    @sharonwalubengo76282 years ago Haya mahubiri yako hai milele asifiwe yesu kweli anatupenda sana
  • @
    @lucykristensen71454 years ago Amen Askofu Gwajima. Mimi ni mfuasi wako kutoka Denmark. Asante tutazidi kuwa Imara na Salama katika jina la Yesu. Ninakuombea ushindi mkubwa katika safari yako ya Ubunge jimbo la Kawe. Utakuwa mtu sahihi kumsaidia Rais wetu mwema Magufuli. Kwa vile wewe ni muwazi na mkweli ni mtu wa Mungu. Amen kura yangu umepata. You have my genuine and sincere support. Mwenyezi Mungu akusimamie na akupatie ushindi mkubwa.🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ... 3
  • @
    @claudinemushimiyimana180411 months ago Tutakuwa wazito hadi hatubebeki kwajina la yesu
  • @
    @mariaseuta41252 years ago Asante mtumishi wa mungu umenifungua leooo nilifungwa god bless
  • @
    @annkim26904 years ago Hua ninajifuza Mambo mengi kupitia kwako kweli huduma haitaki mchezo na haitaki uvuguvugu sivyo utawekewa mbau 3
  • @
    @kapingatshiasuma56474 years ago Mungu akongezeya siku mingi duniyanyi kwa njima la Yesu ubarikiwe 🙏🙏🙏👏🏻👏🏻👏🏻 1
  • @
    @evamwinga9213 years ago Ameen ubarikiwe kwa somo mchungaji, mi huwa sidharau ndoto
  • @
    @sophiamwakila33004 years ago Kila mchawi aliye nyuma ya kila kitu ninachokifanya na amekaa kuharibu na kurudisha nyuma ninamfyeka kwa jina la Yesu. Maana imeandikwa usimwache mwanamke mchawi kuishi. Kwa mamlaka hii ninawafyeka na upanga ukatao kute kuwili na kuwatekeza kwa jina la Yesu. Amen ...
  • @
    @jean-bosco.ntiyabumviye68744 years ago Asante Askofu kwa ufunuo huo wa ndoto za kichawi. Umeniponya. 4
  • @
    @simiyulisbon54446 months ago May God bless the servant of God, because through him my spiritual eye has been opened.
  • @
    @pastortoratipreachingtv4 years ago Nimebarikiwa mnoo. Kumbe katika siku zetu hizi hatuoti ndoto Bali tunaona. Ameeen
  • @
    @jamesjosephm63584 years ago amen nashukur sana baba mungu akupe umuli mlefu 🔥🔥🙌🏾❤️hallelujah 🙏🙏🙏 4
  • @
    @highzacknnko40024 years ago Niliota tulikuwa nyumbani familia nzima ,sasa kuna chumba kimoja kilikuwa na ATM machine wezi wakavunja wakachukua HELA zote halafu hatukusikia hata kidogo ,asubuhi watu wakawa wanatushangaa kwamba ATM yetu imevunjwa .narudisha utajiri wa familia yangu kwa jina LA yesu nakata kila ngome za Giza kwa damu ,pesa zilizo chukuliwa kusini ,kaskazini mashariki na magharibi kwa damu ya yesu ... 2
  • @
    @daughterofakingtabitha.98334 years ago I listened to this sermon over and over and everytime it sounds new. This is a true gift from God. Thank you dadi for obeying the voice of God. 2
  • @
    @mariamfaith99144 years ago Oh nime barikiwa Sana Leo nkiwa Saudia. Napeda huyu mtumishi Sana. Huwa Ana fafanua Neno LA mungu vizuri na elewa sana Neno LA mungu Lina ingia Sana. Thru roho mtakatifu 4
  • @
    @elvisekhayemba90693 years ago Ameeeen Ameeen asante kwa mafunzo ya hekima ya kuomba
  • @
    @graceambilikile74424 years ago Amen ,nimeanza kuwaona kwa maumbo yao kwa jina la Yesu,,nawaona na siwagopi mje hapa leo niwafyeke kwa upanga kwa jina la Yesu
  • @
    @nicolaus40882 years ago Nakuelewasana mchungaji karbunjombee ubarikiwee
  • @
    @lucaskanyasutv938510 months ago Naikubali injili hii na shuhuda hizo ni hakika
  • @
    @bejishful4 years ago Wapigwe! Kwa Jina la Yesu wachawi! Amen. 1
  • @
    @powerplus19333 years ago Ushuhuda unatujenga sana.asante askofu.
  • @
    @nginamugwe80934 years ago Amen Amen..asante sana Askofu gwajima kwa kutufungua macho ya kiroho elim ya hekima... 1
  • @
    @zawadimwanyuke30534 years ago Nime furai sana kuku sikiya tena mutumishi wa yesu Asante yesu 1
  • @
    @sophialaurent28764 years ago Wapigweeeeeeeeeeee katika jina la Yesu 1
  • @
    @pastorhermantv54204 years ago Ameeen Baba yaan leo nilikua rohoni sana nami nimefrhi kufundisha kama wewe
  • @
    @borntowinborntoshine6984 years ago Am blessed by the word of God thank you man of God ..
    May God increase you and entire family of ufufuo
    1
  • @
    @carolineayuma93614 years ago Wachawi wa pingweeeeeeeee kwa jina la yesu 1
  • @
    @merrymerry51994 years ago Wapingweeeeeee kwa Jina la yesu kristo 1
  • @
    @kapingatshiasuma56474 years ago Mungu wangu a akubariki Sana na sana na Sana 🙏🏻🙏🙏🏻🙏 Aleluya
  • @
    @rachelmligwa59224 years ago Asante Yesu maana leo nimerudishiwa macho yangu
  • @
    @tegemeomalimi90144 years ago Ahsante Babaaaaa.....Siku ileeeee Imewadia.....Panua Mipaka....Panuaaa......
  • @
    @tonnymasiga48284 years ago Man of God you are powerful and strong man
  • @
    @neemadonath57374 years ago Ulikuwepo mtumishi wa mungu km unanisema mimi
  • @
    @paschalinahharis96044 years ago Safi sana Flora uinuliwe na Bwana zaidi
  • @
    @derickmsokwa18824 years ago Et unataka kulala unaomba li saaa lizimaaa omba kwa imani ....hapo nimekupata Dr.
  • @
    @henryokello660910 months ago Tangu ulivokuja mikumi wachawi wamepunguwa